Uchaguzi 2020 Naomba nije kivingine kuhusu Tundu Lissu

St. Paka Mweusi

JF-Expert Member
Sep 3, 2010
7,637
4,521
Lengo langu ni kujaribu kuangalia raslimali watu aliyonayo mheshimiwa Lissu katika kuunda serikali yake pale atakapochaguliwa kuongoza Taifa.

Tukumbuke kuwa hataongoza peke yake na lazima atahitaji wasaidizi. Tuanze na baraza lake la mawaziri.

1:Rais - Tundu Lissu.
2:Waziri Mkuu - Freeman Mbowe.
3:Mwanasheria mkuu wa serikali - John Millya
4:Jaji mkuu - Peter Kibatala.
5:Mambo ya ndani - Heche.
6:Ulinzi na usalama - Lema.
7:Utamaduni na michezo - Sugu.
8:
9:
10:
11:

Tuendelee kutazama watu alionao. Kisha tuongezee Mwanasheria mkuu wa serikali, Wakuu wa mikoa,Wakuu wa wilaya nk. Nawakaribisha wote kwa mjadala....
 
Mods naomba msifute uzi huu kama mlivyoufuta ule wa kwanza. Lengo langu ni kujaribu kuangalia raslimali watu aliyonayo mheshimiwa Lissu katika kuunda serikali yake pale atakapochaguliwa kuongoza Taifa. Tuanze na baraza lake la mawaziri.

1:Rais - Tundu Lissu.
2:Waziri Mkuu - Freeman Mbowe.
3:
4:
5:
6:

Tuendelee kutazama watu alionao. Kisha tuongezee Mwanasheria mkuu wa serikali, Wakuu wa mikoa,Wakuu wa wilaya nk. Nawakaribisha wote kwa mjadala....
Serikali ya CHADEMA haitakuwa Kama ya CCM, tutakuwa na magavana na siyo wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya hawatakuwepo ktk serikali yetu na magavana watachaguliwa kwa kura, Rais hatakuwa na madaraka ya ki Dikteta Kama CCM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza anzeni mapambano dhidi ya makundi ya ndani halafu ndio muweze kuyafikiria hayo mambo ya uendeshaji wa serikali yenu.

Mbowe ana watu wake, huyu Lissu nae fitina yake ya kuwatumia kina Kubenea na Komu ikabuma, ili mradi tu kuna zile siasa za kuchekeana watu wakiwa mbele ya waandishi wa habari na kupigana vijembe watu wakiwa mbali ya kamera.
 
Kwa mantiki hiyo kutakuwa na uchaguzi mwingine wa magavana baada ya uchaguzi mkuu. Huoni kama mchakato huo utachukua muda mrefu ukizingatia kuwa tutakuwa na haja ya kurekebisha katiba..
 
Mods naomba msifute uzi huu kama mlivyoufuta ule wa kwanza. Lengo langu ni kujaribu kuangalia raslimali watu aliyonayo mheshimiwa Lissu katika kuunda serikali yake pale atakapochaguliwa kuongoza Taifa. Tukumbuke kuwa hataongoza peke yake na lazima atahitaji wasaidizi. Tuanze na baraza lake la mawaziri.

1:Rais - Tundu Lissu.
2:Waziri Mkuu - Freeman Mbowe.
3:
4:
5:
6:

Tuendelee kutazama watu alionao. Kisha tuongezee Mwanasheria mkuu wa serikali, Wakuu wa mikoa,Wakuu wa wilaya nk. Nawakaribisha wote kwa mjadala....
Wapanga wewe list
 
Nategemea kusikia kuwa labda mheshimiwa Mdee anaweza kushika uwaziri wa Sheria, mheshimiwa Kubenea akashika uwaziri wa habari nk. Vinginevyo ninalazimika kusema kuwa upinzani hauna watu wa kuweza kushika nafasi nyeti serikalini zaidi ya mgombea ambaye ameshapitishwa na wanachama tayari..
 
Kwanza anzeni mapambano dhidi ya makundi ya ndani halafu ndio muweze kuyafikiria hayo mambo ya uendeshaji wa serikali yenu.

Mbowe ana watu wake, huyu Lissu nae fitina yake ya kuwatumia kina Kubenea na Komu ikabuma, ili mradi tu kuna zile siasa za kuchekeana watu wakiwa mbele ya waandishi wa habari na kupigana vijembe watu wakiwa mbali ya kamera.
Hayo makundi ni ya kufikirika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lengo langu ni kujaribu kuangalia raslimali watu aliyonayo mheshimiwa Lissu katika kuunda serikali yake pale atakapochaguliwa kuongoza Taifa.

Tukumbuke kuwa hataongoza peke yake na lazima atahitaji wasaidizi. Tuanze na baraza lake la mawaziri.

1:Rais - Tundu Lissu.
2:Waziri Mkuu - Freeman Mbowe.
3:
4:
5:
6:

Tuendelee kutazama watu alionao. Kisha tuongezee Mwanasheria mkuu wa serikali, Wakuu wa mikoa,Wakuu wa wilaya nk. Nawakaribisha wote kwa mjadala....
-Jaji Mkuu peter Kibatala.
-Mwnasheria wa serikal John Millya.
--Utamaduni na michezo -Sugu.
-Ulinzi na Usalama- Lema.
- Mambo ya Ndani- Heche( akawanyoshe waliomuua mdogo wake mchana kweupe).
---

RESOURCES NI NYING MNO NDDDANI YA CHADEMA HATUNA VILAKA VYA KUZIBIA AU KIZUGIA, TUNA VYOMBO HASWAAAAA......!!
 
Safi sana mkuu. Vipi kuhusu cabinet?
 
-Jaji Mkuu peter Kibatala.
-Mwnasheria wa serikal John Millya.
--Utamaduni na michezo -Sugu.
-Ulinzi na Usalama- Lema.
- Mambo ya Ndani- Heche( akawanyoshe waliomuua mdogo wake mchana kweupe).
---

RESOURCES NI NYING MNO NDDDANI YA CHADEMA HATUNA VILAKA VYA KUZIBIA AU KIZUGIA, TUNA VYOMBO HASWAAAAA......!!
Nimeedit kule juu mkuu. Ila inaonyesha kuna uwezekano wa kukosa watu wenye ueledi na kuishia kuokotaokota watu ili nafasi zijazwe hali itakayotuletea janga sisi kama taifa..
 
Hayo makundi ni ya kufikirika

Sent using Jamii Forums mobile app
Waliondani ya CDM hawawezi kuongea maneno ya kufikirika. Wanaotoka CDM na kuanika yanayofanyika ndani ya chama hawaongei mawazo ya kufikirika. Bahati mbaya ni kwamba Komu wakati anaongea mipango ya fitina akiwa na Kubenea simu yake ilijirekodi na ujumbe ukaenda kwenye kundi la whatsapp ambalo Mbowe yupo pia. Ndipo mpango wao wenye baraka za Lissu ulipoanikwa hadharani.
 
Back
Top Bottom