Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kigali, Rwanda RUFANI KESI YA BOMBA LA MAFUTA -EACOP ,YAFIKA MBELE YA KORTI YA AFRIKA YA MASHARIKI https://m.youtube.com/watch?v=er6WZpHyj1I Mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki Yasikiliza Rufaa...
0 Reactions
4 Replies
759 Views
Ikifika mahali kila mwananchi anaona kabisa kuwa nchi "inaliwa" na wenye madaraka, ile sense ya uzalendo kwa anayejitambua lazima ife! ndipo tulipofika kwetu hapa! Mtu atajifanya, atahubiri...
2 Reactions
3 Replies
387 Views
Mkuu wa Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini (IRDP), Profesa Hozea Mayaya, amesema kuwa APRM Tanzania ni taasisi muhimu kwa taifa, kwani tafiti zake zinachochea maendeleo katika nyanja...
0 Reactions
0 Replies
326 Views
Kuelekea Siku ya Wanawake Duniani Machi 08, 2025, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Juma Zuberi Homera atakuwa Mgeni rasmi katika Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani ambayo Kimkoa wa Mbeya...
0 Reactions
2 Replies
413 Views
Haya kumeshakucha tena La mgambo likilia ujue kuna jambo. Kwa mujibu wa ratiba ya CCM, leo na kesho ni siku ya Mikutano Mikuu ya CCM ya Majimbo/Wilaya kupiga kura za maoni za wagombea wa ubunge...
98 Reactions
5K Replies
707K Views
Habari, Kila nchi ina watu wenye ushawish na watu wenye nguvu. Wazungu husema power is no permanent and is always shifting, kwa sasa hawa ni watu wenye nguvu na ushawishi sana. 1. H.E Samia...
17 Reactions
170 Replies
15K Views
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, Amos Makalla ameshangaa hofu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ya kutotaka...
2 Reactions
34 Replies
2K Views
Wakati akihojiwa na DW! Tundu lissu kasema! Hakuna ishara yoyote ya mabadiliko iliyopo katika utawala huu, zaidi anahofia kuna dalili za Umagufuli pasipo Magufuli mwenyewe!
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Taarifa ya Shukrani iliyosambazwa na Chadema hii hapa Toa Maoni yako
4 Reactions
47 Replies
2K Views
Mkataba huu (wa bandari) unaegemea zaidi upande mmoja na pia hauna ukomo wa muda. Wajibu wote ni wajibu wa serikali ya Tanzania lakini haki zote ni haki za DP WORLD Mkataba huu (wa uendelezaji...
29 Reactions
155 Replies
17K Views
JWTZ Najua mnafahamu kuwa endapo lolote likitokea Uganda hata leo, Rais anayefuata wa Uganda ni Generali kichaa Muhoozi Kainerugaba. Najua mnafaham kuwa Muhoozi na Mjomba wake Kagame wanaamini...
31 Reactions
310 Replies
12K Views
Mbona BAWACHA wako kimya sana? Tarehe 8 ni siku ya wanawake duniani lakini hatuoni kitu kwenye social media account zao. Hii sio kawaida yao. Amandla...
1 Reactions
2 Replies
355 Views
Mwenyekiti wa taasisi ya Samia Us, Geoffrey Kiliba ambaye pia ni Mwanafunzi wa chuo cha DIT akiambatana na wanafunzi wenzake wamepinga vikali kauli iliyoasisiwa na Chama cha Demokrasia na...
1 Reactions
48 Replies
3K Views
Wakuu aliyekuwa mgombea wa nafasi ya mwenyekiti CHADEMA Taifa, Odero Odero alipofanya mahojiano na Edwin Odemba amegusia suala la wale wa kila jambo tunamshukuru mama, tunamshukuru Rais, yani...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Katika Hali ya Kutia Moyo na kuonyesha mshikamano kwa kiongozi wao, Wananchi wa Kata ya Katangara Mrere wilayani rombo Mkoani Kilimanjaro wameamua Kufanya maombi kwaajili ya kumuombea Mkuu wa...
2 Reactions
2 Replies
448 Views
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) anayehusika na Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, ameyasema hayo leo katika Mkutano wa viongozi wa chama na jumuiya ngazi ya...
1 Reactions
32 Replies
2K Views
Kesi ya defarmation ya Mbowe vs Msigwa iliishaje?/imefikia wapi? Mwenye taarifa atujuze Mbowe amgeuzia kibao Msigwa, ataka amlipe fidia bil. 5/- madai kumkashfu By Grace Gurisha , Nipashe...
0 Reactions
2 Replies
407 Views
Hadi sasa kuna taarifa kinzani kuhusu hali za Wanajeshi wetu waliopo nchini Congo (DRC). Hadi sasa ni nchi ya Afrika Kusini tu inayotoa status kwa wananchi wake kuhusu hali ya wapiganaji wao...
12 Reactions
74 Replies
3K Views
Joseph Mbilinyi ambaye pia ni Mwekezaji na Mfanyabiashara wa Kimataifa amepokelewa na Maofisa wa serikali ya Marekani. Jambo kubwa zaidi ni kutambuliwa kwa ziara hiyo na mamlaka za Nchi hiyo...
15 Reactions
37 Replies
2K Views
Wanabodi ,awali ya yote nawatakia Mfungo mwema wa Ramadan na Kwaresima inayoanza kesho. Bado kama mtanzania naona kitendo Cha Mama kumpendekeza na kupitishwa kwa Dr Emanuel Nchimbi kuwa mgombea...
3 Reactions
34 Replies
2K Views
Back
Top Bottom