Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Siongezi neno wala kupunguza wasikilizwe https://youtu.be/b-tiEoJxrdY?si=f-eo_kC1Mn5dgiTc
1 Reactions
2 Replies
371 Views
"Msikate TAMAA kabisa , endeleeni kutuma pesa hata kama mnakutana na changamoto kama hizi. Mwisho wa uhuni umekaribia sana." - Godbless Lema Pre GE2025 Special Thread: Mijadala na Matukio ya...
2 Reactions
22 Replies
1K Views
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla amesema uchaguzi mkuu mwaka huu utafanyika kwa mujibu wa katiba na sheria kwani...
0 Reactions
8 Replies
694 Views
Wanafunzi wa shule ya Sekondari ya kata ya Hinju, halmashauri ya mji Nanyamba mkoani Mtwara, wameishukuru Serikali kwa kuwajengea shule ya kisasa ya kata, iliyogharimu zaidi ya shilingi Milioni...
0 Reactions
1 Replies
360 Views
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Petro Magoti ametoa wito kwa wananchi kutowachagua wabunge ambao hawakuwa wakifanya ziara katika majimbo yao na sasa wameanza kusogeasogea kipindi hiki cha uchaguzi...
0 Reactions
2 Replies
364 Views
Waziri Kombo akutana na Mwakilishi wa UNFPA nchini Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amekutana na kuzungumza na Mwakilishi Mkazi wa...
1 Reactions
0 Replies
247 Views
Mimi nilikuwa ni pro Lissu alipokuwa anapambana na FAM Lakini kusema ukweli so far sijaona kipya. Juzi nilikuwa namsikiliza akizungumzia njia atakazotumia kustopisha Uchaguzi. Lissu bado...
10 Reactions
91 Replies
4K Views
Wakuu anayejua pigo la radi aje atuelezee linavyokuwa, ili tupate picha ya kitakachotokea hiyo October. === Mjumbe wa Baraza Kuu la Jumuiya ya Vijana ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Victor...
0 Reactions
6 Replies
479 Views
ALIYEKUWA Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam nchini Tanzania, Paul Christian Makonda, sasa ameamriwa kufika mbele ya Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Kinondoni, Dar es Salaam, tarehe 3 Februari 2022, kujibu...
26 Reactions
224 Replies
22K Views
“Hao wanaojitoa ufahamu kwamba No reforms no Election hayo ni maneno ya kwenye kanga, Reforms zinafanywa na bunge ni mambo ya kisheria, naomba msidanganywe tupo tayari kwa uchaguzi, na hao...
3 Reactions
21 Replies
1K Views
“Asilimia kubwa ya vijana ambao wanatekwa ni vijana wa upinzani ni vijana WanaCHADEMA ni vijana wanaharakati. Kwa kuwa watu wanaotekwa ni watu wenye mrengo huu wa kimageuzi ni watu wanaoiunga...
4 Reactions
15 Replies
967 Views
Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA), Deogratius Mahinyila, amesema kuwa Serikali inapaswa kutambua kwamba vijana wanaoikosoa hawataisha milele. "Watu...
1 Reactions
4 Replies
693 Views
Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango amewataka wananchi wa Kijiji cha Kasumo wilayani Buhigwe mkoani Kigoma kuutambua na kuuthamini mchango wa Serikali katika maendeleo ya huduma za kijamii wilayani...
0 Reactions
0 Replies
577 Views
Kwa mujibu wa Khalifa, hakuna dalili yoyote inayoashiria kuwa CHADEMA kweli kuzuia uchaguzi usifanyike, wala hakuna dalili za mageuzi yoyote kufanyika kabla ya uchaguzi. Ameeleza kuwa njia pekee...
6 Reactions
49 Replies
2K Views
Ni muhimu sana waandishi wakawa na specialisation. Taaluma ya habari ni kibebeo cha taaluma maalum ambayo mtu anayo. Nimesikiliza mjadala katika jukwaa la wahariri hakika utaaluma wa Balile...
5 Reactions
33 Replies
2K Views
Wakuu, Akiongea na wanawake wa mkoa wa Ruvuma katika kongamano la wanawake wa mkoa huo Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Ruvuma, Mhe Jacqueline ngonyani Msongozi amesema mwanamke kuwa na kipato sio...
0 Reactions
2 Replies
415 Views
Mbunge wa Jimbo la Kisesa, mkoani Simiyu, Luhaga Mpina, amesema hatakaa kimya wakati baadhi ya watu wakiendelea kuendeleza ufisadi na matumizi mabaya ya fedha za umma, hali inayorudisha nyuma...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Wakuu Costa Boy amesema hana mpango wa kuifuta tattoo aliyochora kwa upendo wake kwa Waziri Mkuu Majaliwa == Kuelekea Uchaguzi 2025: Vijana tunafanya nini kuongeza ushiriki wenye tija na...
0 Reactions
6 Replies
567 Views
Wajumbe bhana huwa wana risk miaka 5 kwa pesa ya siku moja tu, vijizawadi vya redio na madaftari, halafu wanakuja kulia njaa miaka mitano ijayo. === "Watu wanapambana kuwa wabunge lakini hawajui...
1 Reactions
2 Replies
454 Views
Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mheshimiwa Mhandisi Maryprisca Mahundi amewatembelea majeruhi wa ajali iliyohusisha basi la CRN na Gari la miundombinu ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa...
0 Reactions
0 Replies
298 Views
Back
Top Bottom