Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Suala hili limekua likikejeliwa na ccm bila kuja na hoja zenye mashiko. Hoja zangu ni hizi:- 1. Kwa upande wangu mimi, nikiangalia kwa upande wa vyama vya upinzani nabaini kwamba ni kichaa peke...
10 Reactions
9 Replies
664 Views
Kwa hali ilivyo sasahv duniani kuna vita kubwa ya tariffs kwenye bidhaa mbalimbali toka nchi mbalimbali ambapo tumeshuhudia Trump akiongeza tariffs dhidi ya mataifa mengine kwa takribani asilimia...
0 Reactions
0 Replies
301 Views
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Bw. Kailima Ramadhani amesema kuwa mtu yeyote anayehukumiwa kifungo cha zaidi ya miezi sita jela, anapoteza sifa za kuwa kwenye Daftari la...
0 Reactions
1 Replies
491 Views
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora, Mhe. Jacqueline Kainja Andrew tarehe 3 Machi, 2025 amekabidhi Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Urambo Mkoani Tabora baada ya kuikarabati kwa...
0 Reactions
13 Replies
908 Views
Mbunge wa Viti Maalum Sylvia Sigula amezindua kituo cha mafunzo ya ushonaji, urembo, mapambo na ujasiliamali kwa Vijana wa Mkoa wa Rukwa lengo likiwa ni kutoa mafunzo na vitendea kazi kwa Vijana...
0 Reactions
0 Replies
361 Views
Wakuu, Imefikia hatua sasa CCM wameanza kutumia wazungu kama machawa wao ili waonekane wananfanya kazi ========================================= Ryan Shirley kutoka Jimbo la Utah, Magharibi...
0 Reactions
1 Replies
435 Views
Mwanachama wa ACT Wazalendo ambaye pia ni Waziri Kivuli Ofisi ya Waziri Mkuu- Bunge, Sera, Vijana, Kazi na Ajira, Ndolezi Petro amesema wanamuunga mtu yeyote anayekuja na hoja ya mabadiliko kwa...
0 Reactions
0 Replies
346 Views
Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Levina Rajabu mkazi wa kata ya Bondeni katika mji mdogo wa Bomang’ombe wilaya ya Hai mkoa wa Kilimanjaro amesema endapo atafariki dunia kabla ya uchaguzi...
0 Reactions
3 Replies
496 Views
WAZIRI PINDI CHANA AWAJIBISHWE MARA MOJA – VITENDO VYA UKATILI MAMLAKA ZA HIFADHI DHIDI YA WANANCHI VIMEFIKIA HATUA MBAYA Msimamo wa ACT Wazalendo kutokana na matukio uvunjifu wa haki za binadamu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kama una akili timamu na unawaza kwa kutumia kichwa na sio tumbo (maslahi binafsi) utagundua kuwa Nchi yetu imefika hatua mbaya sana. Kiongozi yeyote anapojua kuwa sio kura za Wananchi...
11 Reactions
33 Replies
2K Views
Mwl Nyerere aliwahi kuwaambia Wanaccm wenzake kwamba, Nanukuu , "KAMA UNAMPENDA MTU KWA SABABU YA SURA YAKE BASI NENDA KANYWE NAYE CHAI” Mwisho wa kunukuu. Ni lazima Mamlaka ya Uteuzi ijifunze...
15 Reactions
78 Replies
7K Views
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo amemtaka Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Pindi Chana kuachia nafasi hiyo na kuruhusu mamlaka za uteuzi zifanye maamuzi mbadala, iwapo...
7 Reactions
78 Replies
10K Views
Yani kumrekodi mwanajeshi akisachiwa na askari polisi na kupost ndiyo kuonyesha kuwa nyinyi si lolote? Nadhani wanamaanisha hivyo. Kumrekodi askari akipigwa sachi kiasi kile kisha kutuma kwenye...
21 Reactions
133 Replies
7K Views
Inasikitisha kuona kwamba taifa linafanya mchezo wa maigizo yanayoligharimu taifa mabilioni ya dola na kumbe hawako serious. Tumejenga reli ya Umeme kwa gharama kubwa sana, halafu kutoka huko...
26 Reactions
140 Replies
7K Views
Freeman Mbowe ndio mwanasiasa wa upinzani mahiri kuwai kutokea tangu Tanzania iumbwe, anaebisha ilo ni mjinga. Amewaacha mbali sana wanasiasa wote wa upinzani mtu pekee aliyekuwa anamkaribia...
9 Reactions
135 Replies
6K Views
Wadau wa jukwaa la siasa naomba mawazo yenu maana nimekuwa nikitatizwa sana na hasa watu wenye vipaji vya uongozi. Katika makuzi yangu nilishuhudia viongozi wa aina zote. Yaani wenye uwezo mkubwa...
2 Reactions
11 Replies
555 Views
Kufuatia tuhuma inayokukabili ya ubadhilifu na utakatishaji wa pheza, uongo na wizi wa mali ya uma inasemekana kuwa hayo yote yanayomkuta ni laana ya wananchi wa mtwara zidi ya uongozi wake wa...
4 Reactions
19 Replies
4K Views
Wakuu, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene (Mb), amesema Mawaziri Watatu, akiwemo yeye, Waziri wa TAMISEMI, na Waziri wa Elimu...
2 Reactions
23 Replies
4K Views
Mwandishi wa Habari Pascal Mayalla amshauri Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu kutembelea jukwaa la JamiiForums kusoma maoni ili kuondokana na siasa za harakati na kufanya siasa za mikakati.
16 Reactions
247 Replies
11K Views
Mweyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Kibiti, Juma Kassim Ndaruke ametoa rai kwa wa Umoja wa Wanawake wa chama hicho Wilayani Kibiti kusimama kidete na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
0 Reactions
5 Replies
647 Views
Back
Top Bottom