Trump: "Tunashinda sana dhidi ya Iran." Lakini ndani ya saa 24 — Marekani yapoteza 25% ya ndege zake za Reaper, meli ya Lincoln yarudi baada ya siku 266, Iran yasisitiza Hormuz ni yake. Ushindi si...
Kwa kile kinacho onekana kuendelea kukomoa raia yeyote anae enda kinyuma na usawa na haki , Mhimili wa Dola , Mahakama na Polisi wameamua kufungulia kesi za Ugaidi wote watakaoisema serikali ya...
Spika wa bunge la jamhuri ya muungano JOB NDUGAI amedai kuwa kulingana na mwenendo wa deni la taifa kufikia trilion 70 ipo siku nchi ya Tanzania itapigwa mnada amenena maneno hayo baada ya kusema...
Utamhoji vipi mtu polisi kwa kosa kama hili ambalo kiuhalisia hufanyika kwenye viunga vya mahakama mbele ya jaji au hakimu. Hata kama ni nje ya mahakama Jaji au hakimu hutoa amri ya mkosaji...
Kwanza wamekwishampa uhalali wa kumtambua kuwa yeye ni "Mheshimiwa Rais" halali licha ya waTanzania kutomchagua kwa kura halali.
Mwezi August, 2025 waliomba wakutane naye kujadili maswala muhimu...
Mkurugenzi wa Taasisi ya Everlasting Legal Aid Foundation (ELAF), Wakili Dkt. Khamis Masoud, ametoa ufafanuzi kufuatia baadhi ya kurasa za mitandao ya kijamii kuchukua vipande vya mahojiano yake...
Kamati ya Kusukuma Maridhiano ya Kitaifa (KKMK) tumeandaa Rasimu ya Muswada wa Mfano (Model Bill) wa Sheria ya kuongoza Mchakato wa Maridhiano nchini.Lengo la Muswada huu wa Mfano ni kushawishi...
Madeleka ana bahati sana hajapotezwa.
Baada ya Presha ya Mitandaoni Polisi wakiri kumshikilia.
====
TAARIFA KWA UMMA
POLISI DAR ES SALAAM INAMSHIKILIA WAKILI PETER MADELEKA KWA TUHUMA ZA...
Kama sio chawa ni kumfurahisha Mama na masiha yake tu
Wabara wamekuwa kama watume wa Malikia Samia! Mungu ni lini Tanzania tutakuwa huru?
https://youtu.be/Ur_aGlVQTkA?si=PpXpuKdFaQp7D22f
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 10 Agosti, 2026, amekutana na kufanya mazungumzo na Maaskofu wa Kanisa Katoliki nchini Tanzania kupitia...
Kuwa kipindi chote wananchi wa Zambia walikuwa na imani kubwa sana na Rais wao Hichilema, hata ule mgogoro wa maziko ya Edgar Lungu haukuwa Tatizo kwa Wazambia
Ugomvi wake na Wazambia ulianza...
Serikali imeona njia pekee ya kupambana na upinzani ni kuwapa lesi za ugaidi na uhaini nadhani wana hamu sana na ugaidi wenyewe na inaonekana wanautamani sana
Kiongozi wa upinzani Zambia mh. Brian Muntayala Mundubile, ni vizuri akawa mtulivu na akaheshimu demokrasia na maamuzi huru ya wananchi wa jamuhuri ya Zambia kwa kumchagua tena Rais Hakainde...
JENERALI ULIMWENGU alizaliwa tarehe 4 Aprili 1948 huko Ngara, Mkoa wa Kagera nchini Tanzania. Alisoma shule za Kamachumu, Katoke na Nyakato mkoani Kagera na sekondari mkoani Tabora kuanzia mwaka...
Wanasiasa wengine hivi sasa, hasa vijana hawana tena muamko wenye kuibua mawazo mapya wala fikra mbadala na bora zaidi za kutatua changamoto zao, wala hawana tena uwezo wa kujitetea wenyewe kwa...
Issue ya Mwalimu mchezaji inaweza ikawa muhimu kwa siasa zetu watu wamepanga kunufaika nayo, kumbukeni wiki hii ndio kuna deadline fulani hivi, na uhakika mnaijua lakini pia kuna kesi muhimu sana...
Kumbe Hatuchezi ni project ya CCM kuitumia Yanga kujaribu kupotezea moto wa majadiliano ya NO REFORMS NO ELECTION?
Kama ni hivyo viongozi wa Yanga wanataka huo ubunge kwa kupitia damu za wana...