Ni jambo najiuliza, na nakiri sijui msimamo wa katiba yetu ukoje juu ya hili, labda kwa sababu halijawahi kutokea na hatujawahi kufikiri linaweza kutokea.
Katika uchaguzi Mkuu, ushindi wa kiti...
Kaimu Waziri wa Afya Zanzibar, Saada Mkuya Salum ametoa ufafanuzi wa kauli yake kuhusu Kadi ya Matibabu kwamba hakutaja sehemu Watu kutoka Bara.
Mkuya ametoa ufafanuzi huo leo Juni 10, 2026...
Baadhi ya wananchi wa Ukonga Mazizini, Mtaa wa Kwamakobe, tunawasilisha malalamiko yetu rasmi kuhusu mwenyekiti wa mtaa wetu, Musa Komba.
Kumekuwa na kero kubwa inayotokana na mwenendo wake wa...
Waziri wa Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo leo Juni 11, 2026 amesema wastani wa Pato la Taifa kwa Mtu umeongezeka kwa asilimia 7.4 na kufikia shilingi 3,544,124 (dola 1,390) mwaka 2025...
Nchi hii ni ya maajabu sana ,
Nimekuwapo wakati wa Tawala zote ila sasa hii imekuwa ya maajabu mno!
Katika interview ile aligusia:
1. Kuhusu mtu mzito kumpigia simu kuhusu kwamba atapotezwa na...
My Take
Wale wa Bandari imeuzwa sijui kukodoshwa waje hapa kumwaga povu tena.
Je ukodoshaji umeleta liability au profitability na assets?
Namba zinaongea,emotions zinadanganya...
Waziri wa fedha, Balozi Khamis Mussa Omar akiwasilisha hotuba ya bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2026/2027 amesema .....
Serikali inatarajia kukopa jumla ya shilingi trilioni 15.54...
Mtanange unaendelea, nani ataibuka kidedea!!?
Sisi wamatumbi tupo upande gani!?tujifiche upande wa Mungu na maombi kama kina sisi!!?
Kule Zanzibar naona wameanza kuchochea kuni ili kuvunja...
Hakuna ubishi. Kwa sasa super power pekee iliyopo duniani ni Marekani tu.
U super power wa Marekani haupo kwenye masuala ya kijeshi tu.
Bali, hawa jamaa wanadhibiti, kwa kiasi kikubwa, mifumo...
Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, imefungua shauri la kiraia namba 13832 la mwaka 2026 lililofunguliwa na Said Issa Mohammed na Ahmed Rashid Khamis dhidi ya wadhamini waliosajiliwa...
Itakuwa kosa kubwa sana kwa Seneti ya Marekani kujadili mauaji ya kikatili ya Oktoba 29 nchini Tanzania bila pia kuchunguza nafasi ambayo Meta ilicheza katika kuisaidia serikali ya Tanzania...
Naona kuna ukakasi kutumia neno ‘Mahakama ya Tanzania’—ni sahihi kuitaje vipi kwa mtindo rasmi wa kisheria?”
MAHAKAMA ni moja kati ya KICHAKA cha Ma CCM kutekelza maovu yao yaani wanakitumia kama...
The FY 2026/27 budget is essentially Tanzania trying to push its economy into a more “production and infrastructure first” phase, rather than consumption and aid dependency.
At the core, the...
Nimewaza sana matumizi ya Google Team, Zoom na Apps nyingine nisizo zifahamu zinazo tumika kuendesha vikao mbalimbali, na hata hutumika katika matumizi Serikalini.
Je? Tuna uhakika na usalama wa...
Ni vema mkamhukumu mnavyoona/ mnavyopenda kuliko haya mateso mnayompa.
Ajue moja, ananyongwa au anafungwa au anaachiwa.
Mwamwindi wa Iringa, aliamua moja akalitimiza, akamuua Kleruu na Mwalimu...
Kuna baadhi ya Wazanzibar wameonja nyama za watu, hawataki kuacha kuzila, kama alivyosema Nyerere
Wapo baadhi yao wasio na uwezo mzuri wa akili wameanza chokochoko na kelele kwamba Watanzania...
Wewe na Mbatia mlifanya Kazi moja, Sasa kabla hatujafunguka zaidi SHUT UP,
Vinginevyo utakimbia Nchi, wewe ni miongoni mwa Wahujumu wakuu wa Maalim Seif
Ukiendelea kuropoka tutaanika kila kitu
Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki anafanya ziara Rasmi ya kikazi jijini Washington, D.C., nchini Marekani.
Katika ziara yake hiyo...