Tofauti ya Rais Samia na marais wengine waliomtangulia

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
17,123
Reaction score
16,842
Rais Samia ana exposure kubwa sana ya kimataifa inayomfanya iwe vigumu kumchafua kimataifa.

Ni Rais mwanamke, dunia nzima inajua kuwa viongozi wa siasa nchi kwake wanamuonea kwakuwa ni mwanamke. Kama sehemu ya changamoto za wanawake duniani.

Dunia inamuona Rais Samia na uongozi wake kupitia vitendo na uongozi wa mtangulizi wake, Rais Magufuli. "Bora huyu"

Rais Samia hana wategemezi wengii maskini wa kutupwa kulinganisha na watangulizi wake.

Rais Samia anataka kuacha alama badala ya laana, wengine wanaacha watoto wengi mitaani.
Rais Samia katoka familia ambayo watoto wote waliheshimika, hata wale wa kike.

Maoni ya mtu hayapigwi rungu
 
Rais Samia ana exposure kubwa sana ya kimataifa inayomfanya iwe vigumu kumchafua kimataifa.

Ni Rais mwanamke, dunia nzima inajua kuwa viongozi wa siasa wanamuoenea kwakuwa ni mwanamke.

Dunia inamuona Rais Samia na uongozi wake kupitia vitendo na uongozi wa mtangulizi wake, Rais Magufuli

Rais Samia hana wategemezi wengii kulinganisha na watangulizi wake

Kuna watoto waliouawa Oct 29.

SSH ndio Rais wa kwanza wa Tz kusababisha vifo vya watoto.
 
Rais Samia ana exposure kubwa sana ya kimataifa inayomfanya iwe vigumu kumchafua kimataifa.

Ni Rais mwanamke, dunia nzima inajua kuwa viongozi wa siasa wanamuoenea kwakuwa ni mwanamke.

Dunia inamuona Rais Samia na uongozi wake kupitia vitendo na uongozi wa mtangulizi wake, Rais Magufuli

Rais Samia hana wategemezi wengii kulinganisha na watangulizi wake

Rais Samia anataka kuacha alama badala ya laana, wengine wanaacha watoto wengi mitaani.
Rais Samia katoka familia ambayo watoto wote waliheshimika, hata wale wa kike.

Maoni ya mtu hayapigwi rungu
Hakuna Rais wa Tanzania aliyewahi kuchafuka na kuichafua nchi yetu kimataifa kama huyu fazafaka!
 
Rais Samia ana exposure kubwa sana ya kimataifa inayomfanya iwe vigumu kumchafua kimataifa.

Ni Rais mwanamke, dunia nzima inajua kuwa viongozi wa siasa wanamuoenea kwakuwa ni mwanamke.

Dunia inamuona Rais Samia na uongozi wake kupitia vitendo na uongozi wa mtangulizi wake, Rais Magufuli

Rais Samia hana wategemezi wengii kulinganisha na watangulizi wake

Rais Samia anataka kuacha alama badala ya laana, wengine wanaacha watoto wengi mitaani.
Rais Samia katoka familia ambayo watoto wote waliheshimika, hata wale wa kike.

Maoni ya mtu hayapigwi rungu
Hivi una Akili timamu kabisa?
 
Uko sahihi
 
Ameua watoto ambao walitolewa kafara na chadema.
Mnapompata Rais ambae alikuwa sungusungu wakati fulani kwenye kabila lake utaona mabavu na mitulinga ya uongozi, unapokuwa na Rais ambae anatoka kwenye jamii ambayo wanakatana mapanga kama njia ya kutatua migogoro wananchi watakutana na kitu kibaya sana kwa RAIS wao huyo. Unapokuwa na Rais ambae anatoka kabila ambalo wanawake wananyimwa uridhi tegemeeni hali mbaya ya uvunjivu wa haki za wanawake.
 
Rais Samia ana exposure kubwa sana ya kimataifa inayomfanya iwe vigumu kumchafua kimataifa.

Ni Rais mwanamke, dunia nzima inajua kuwa viongozi wa siasa wanamuoenea kwakuwa ni mwanamke.

Dunia inamuona Rais Samia na uongozi wake kupitia vitendo na uongozi wa mtangulizi wake, Rais Magufuli

Rais Samia hana wategemezi wengii kulinganisha na watangulizi wake

Rais Samia anataka kuacha alama badala ya laana, wengine wanaacha watoto wengi mitaani.
Rais Samia katoka familia ambayo watoto wote waliheshimika, hata wale wa kike.

Maoni ya mtu hayapigwi rungu
i kiongozi jasiri
 
Jamaa una akili sana ni John Heche 10 zinakufikia Uwezo wako
 
..kuna watoto waliouwawa Oct 29.

..Ssh ndio Rais wa kwanza wa Tz kusababisha vifo vya watoto.
Kuna watu walidhani Rais Samia ni uchochoro wao wa kwenda msalani, hawakuamini macho na masikio yao. Walizoea marais wanaovaa suruali na kufokafoka kama vifutu, wakahadaiwa na magauni na lipstick wakasahau ukubwa wa Katiba na mamlaka ya Rais
 
kilaza eeeh,umeona maendeleo anayoleta? wewe kuna kitu gani unajua?
Miradi gani anayo zaidi ya kudandia ile ya mtangulizi wake?!.
Huyu daima atabaki kuwa THE WORST EVER...haishangazi watz wengi waligoma kutoka kwenda kumpigia kura oktoba 29!.

Chini ya huyu huyu mama nchi yetu kwa mara ya kwanza imetoka kwenye top ten ya nchi zenye uchumi mkubwa Afrika...tulikuwa tunacheza no 7 hadi 8, leo tupo no 12 tumepitwa hadi na DRC!.
 
Porojo hizo, kama chadema imechoma uchumi wetu, inahamasisha nchi ikose misaada na mikopo, inahamasisha vurugu zinazosababisha uzalishaji viwandani usimame, watalii na wawekezaji wasije unatarajia nini?

Hata hivyo huyu mama ni shupavu sana na mwenye akili nyingi. Unaweza kuwa professor lakini wa hovyo tu. Mbunge Kasheku Musukuma ni darasa la saba tu lakini anafanya makubwa jimboni kwake na kwenye mambo yake binafsi kushisha maprofesa.

Huyu mama kwanza anaaminika kimataifa. Anaweza kuijenga nchi hii kupitia nchi za Magharibi, Mashariki kama Urusi, Uarabuni, Uchina, Asia ya Japan, Korea, singapore au Amerika. Zanzibar inaaminika kimataifa kuliko Tanganyika ya wachunga ng'ombe wa kienyeji (primitive). Kama ukienda kumzibia misaada huku atatokea kule. Hakuna Rais aliyepita mwenye uwezo huo. Vurugu hizi kama zingemtokea Magufuli hali yetu ingeshakuwa mbaya sana.

Hebu ona wamefanya vurugu za kila aina hapa na kutaka kumchafua Samia, lakini Marais wanamiminika kuja Tz kuingia mikataba ya ushirikiano. Juzi nchi Norway imesaini kutoa misaada lukuki, Marekani hivyohivyo, Misri, Kenya, Namibia, Singapore, Russia,.....

Jidanganyeni wajinga nyie.
 
Inaonekana SSH anao uwezo wa kuongea na marais wake, uwezo wa kujishusha na kuwa katika ngazi moja ya kibinadamu na yule anayeongea nae.

Hana kujikweza hatangulizi majigambo na ujuaji katika ukuzaji wa uhusiano na marais wa mataifa mengine.

Hao CHADEMA ni wa kuhurumiwa tu, walitaka mpaka muda huu Tanzania iwe imeshafutika kwenye ramani ya dunia, baada ya kudhibitiwa wakaenda kujiliza kwa kina ICC!.

Hivi sasa serikali ya Marekani inaongelea namna ya kuifuta hiyo mahakama yao ya The Hague, wakati wao wanaharakati ndio wanawachukulia kuwa ni kimbilio lao.
 
Miradi gani anayo zaidi ya kudandia ile ya mtangulizi wake?!.
Huyu daima atabaki kuwa THE WORST EVER...haishangazi watz wengi waligoma kutoka kwenda kumpigia kura oktoba 29!.

Chini ya huyu huyu mama nchi yetu kwa mara ya kwanza imetoka kwenye top ten ya nchi zenye uchumi mkubwa Afrika...tulikuwa tunacheza no 7 hadi 8, leo tupo no 12 tumepitwa hadi na DRC!.
Ni wazi huna taarifa za uhakika bali ni chuki yako binafsi kwake,na kwa mtu kama wewe ni ngumu kukuelezea ukaelewa,hata hivyo hivi unajua ni wanafunzi wangapi wanapewa mikopo kusoma vyuo vikuu? Unajua ni kiasi gani cha pesa hicho?Hakuna Rais yoyote aliyepita ana rekodinya kutoa fedha nyingi kama Samia,ama eti ni miradi ya mtangulizi wake,je fedha za kulipia miradi hiyo ameleta mtangulizi wake?Hivi unatembea nchini uone hospitali na shule alizojenga?Tuache kumchukua mtu bilashi
 
Back
Top Bottom