Kama tunavyofahamu kuwa mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi, na kama ilivyo katika chaguzi zilizopita, hali ya hewa huwa inaanza kujulikana mapema kwa kuzingatia mambo mbalimbali, kwa kuanzia na...
Watanzania tunatakiwa kujitoa kuitafuta katiba na tume huru kwa udi na uvumba wanasiasa wetu mnawajuwa wenyewe. tunatakiwa kuingia barabarani maelfu kwa mamia kudai katiba ya warioba na tume huru...
Kinyang'anyiro cha ubunge October 2020 huko Singida kimechukua sura mpya leo baada ya Kitila Mkumbo kumpiga kijembe cha wazi hasimu wake Mwigulu Nchemba dhidi ya kauli yake ya jana kuhusu kuondoa...
Ndugu zangu,
Zilezile busara za Mbowe kukaa karantini sasa zitumike ili Chadema isishiriki uchaguzi mkuu mwaka 2020.
Hii itaifanya Chadema kukubalika na WHO, US na EU kama "wapambanaji" dhidi ya...
Iwe mvua Au jua watu wa Iramba tunamhitaji Prof. KITILA MKUMBO 2020 awe mwakilishi wetu Bungeni, Haya ni matamanio yetu kutoka nyoyoni mwetu wanaIramba, CCM na wanaccm tupo tayari kumsapoti...
Asalam aleykum JFs
Hivyo ndivyo tunaweza kusema kuwa pumzi sasa ndani ya ccm na serikali yake imekata. Iko tayari kukubali yaishe. Katika moja ya habari inayosambaa mitandaoni kupitia Tv online...
Mh Mbowe ujue kwamba mti wenye matunda ndio hupigwa mawe.
Watanzania bado Wana Imani nawewe mnoo na wapinzani wenu wanajua Hilo.
Wanazijua nguvu zako hivyo hawataacha kukuandama.
Kumbuka yesu...
ACT wazalendo imebainisha msimamo wake kuhusu uwezekano wa kumsimamisha Bernad Membe nafasi ya kugombea Urais iwapo atajiunga na kutumiza vigezo vinavyotakiwa,hayo yamesema na katibu mkuu wa ACT...
Baada ya misukoko mikubwa iliyoikumba Chadema tangu baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 ni dhairi sasa chama hiki kinafikia mwisho enzi kama hali itaendelea kama ilivyo na kama walivyojiapisha...
MBUNGE CHARLES MWIJAGE HUU NI MWISHO WAKO
Ukipanda bangi huwezi kutegemea kuvuna mchicha hii ni kauli ambayo inawatesa wananchi wa jimbo la Muleba Kaskazini baada ya kumchagua Mwijage kama mbunge...
Pamoja kuwa chama kikuu cha upanzani kiko katika hari mbaya sana kwa sasa ni kama mtu anapumulia mashine ya ugonjwa wa Korona katika chumba cha wagonjwa mauti uti lakini kinahistoria za ajabu...
Mbatia v/s mrema nani zaidi?
Mrema na Mbatia wanafanya siasa zinafanana na wanatoka jimbo moja la vunjo
Mrema na Mbatia lengo lao sio kushika dola,lengo lao ni kuwa vyama vya upinzani maisha yao...
Chadema ❎
Habari wana jamvi!
Katazo la Mbowe linaonekana kugonga mwamba na kuleta mpasuko mkubwa ndani ya CHADEMA baada ya baadhi ya wabunge wachadema kukataa kile kilichoitwa ukandamizwaji wa...
Kwanza tuombe Mungu hii homa isitufikie.
Pili Ulaya wameshaanza kuzungumzia baadhi ya match kuchezwa bila mashabiki kwa hofu ya kuambukizwa hii homa.
Kwa jinsi ninavyoona kitakuwa kisingizio...
Katika hali isiyo ya kawaida mkuu wa mkoa wa Arusha,Mrisho Gambo anadaiwa kuandaa wazee wa mila ya kimasai maarufu kama Laigwanan ili waweze kumwomba agombee ubunge katika jimbo la Arusha Mjini...
Wabubge hawa, wakiongozwa na JAFARY MICHAEL wa Moshi ambaye hana hata sifa ya kuwa diwani kwakuwa hakuna mjadala aliyewahi kuchangia akiwa bungeni ama nje ya bunge basi hawa wangine wamejichokea...
Habari wanaJF
Itakapofika October 2020 nchi itajihusisha na uchaguzi mkuu wa madiwani, wabunge na rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania
kwa upande wa CCM kama katiba yao unavyojinadi kwamba...
Ni dhahiri kwamba kampeni za uchaguzi mkuu huambatana na gharama kubwa sana. Vyama vya siasa vimekuwa vikitumia gharama kubwa kuandaa mikutano, fulana, kofia, vipeperushi, takrima za hapa na pale...
Japo alitangaza kustaafu lakini ataombwa kutengua dhima yake na wanaCcm wa Bukoba ili aendelee kuwatumikia Wana Bukoba town kwani mchango wake bado unahitajika. POLITICS.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.