Uchaguzi 2020 Ubunge wa Mwijage wafika kikomo jimboni Muleba Kaskazini

Kiboko.

JF-Expert Member
Jul 31, 2013
2,891
1,211
MBUNGE CHARLES MWIJAGE HUU NI MWISHO WAKO

Ukipanda bangi huwezi kutegemea kuvuna mchicha hii ni kauli ambayo inawatesa wananchi wa jimbo la Muleba Kaskazini baada ya kumchagua Mwijage kama mbunge wao. Baada ya kuwa mbunge kipindin cha awamu ya kwanza wananchi walimchoka sana lakini baada ya kuteuliwa kuwa Naibu Waziri wa Nishati na Madini wananchi wakawa na imani naye tena kuwa nchi bado ina imani naye na kupelekea kuchaguliwa tena.
Haya ni baadhi ya madudu yake ambayo yanapelekea kuwa ndio kikomo chake cha Ubunge.

Ni kiongozi mwenye visasi; Wakati akiwa naibu waziri aliwaahidi watu wa Kashule kata ya Izigo kuwaletea umeme na baada ya muda nguzo za umeme zilipelekwa huko kijijini, Alipoenda kufanya ziara watu walimzomea kutokana na utendaji wake wa kazi kuwa goigoi. Harakati za uchaguzi alivyoshinda kwenye kura za maoni nakuwa mbunge tena na kwa bahati nzuri akateuliwa kuwa Waziri wa viwanda alirudi kashule na kuondoa nguzo zote za umeme hadi dakika sehemu hiyo haina umeme. Huyo ndio Mwijage anayetaka kugombea kwa mara ya tatu.

Ni muongo na mbinafsi, wakati wananchi wa Muleba wanapambana kufanya uwekezaji ndani ya jimbo yeye alikuwa anatumia nguvu nyingi kuwafitinisha na kuwakwamisha. Kuna mkazi wa Kagoma alifungua kiwanda cha wine ambapo aliajiri vijana wengi na wine hiyo ilikuwa inatumia Ndizi lakini Mwijage alitumia nguvu nyingi kuhakikisha kiwanda hicho kinakufa akili yake anajua muwekezaji anataka kugombea nafasi yake.
Wananchi wa jimbo la kusini kilio chao kikubwa wanajua Rais wao ni mtu wa watu na anapenda maendeleo lakini mtu aliyemchagua kuwa waziri alihakikisha hakuna kiwanda kinachoanzishwa jimboni kwake. Siku Rais alivyogundua kuwa hakuwa mtendaji mzuri ilikuwa sherehe kubwa kwa wananchi wa jimbo la Muleba kaskazini.

Ni mchonganishi, wakati wakazi wa Kagoma wanashida na kujenga shule yao ya Manyora alialikwa na kutoa ahadi kemkem lakini kilichotokea hadi leo ni maneno matupu. Lakini kwenye kitabu cha utekelezaji kaorodhesha kama ni shule ambayo alijenga wakati zilikuwa juhudi za wakazi wa kagoma kuungana na kuijenga shule yao pasipo mchango wake hata shilingi mia moja. Siyo hapo tu hata shule ya msingi ya Rutoro kasema kaijenga wakati hadi sasa majengo yake yameezekwa kwa nyasi na majengo ni ya udongo. Aliyekuwa waziri wa viwanda na kuwa na ushawishi Tanzania nzima lakini jimbo lake analididimiza kuwa la ovyo. Akienda bungeni anajisifia kuwa ni mtu wa propaganda na kasomea china tunaoelewa maana ya propaganda maana ni muongo na hafai katika sera ya kujenga nchi.

Ni mharibifu wa chama chetu cha Mapinduzi, kwa miaka 10 amekigawa chama na kupelekea baadhi ya wanachama kukimbilia vyama vya upinzani. Huyu mtu hafai baada ya kutuweka pamoja amekuwa akitugawa ni mtu anayeeneza mambo ya ukanda pamoja na ubaguzi wa dini. Hii miaka 10 inamtosha tunaomba atupishe isije chama chetu tukakiweka rehani. Kiongozi lazima awe mtu wa maono na kuwaweka wananchi pamoja na kueneza upendo na usawa kwa wananchi pasipo kumbagua mtu.

Mwijage umeshindwa kula na vipofu ndio maana tumekuchoka tunakutakia mapumziko mema tuko tayari tuchague hata jiwe kuliko kumchagua mtu anayeeneza chuki, ugomvi na hayuko tayari kuleta maendeleo. Uchaguzi umekaribia tulijua utastaafu mwenyewe lakini umeamua kuwa king’ang’anizi mpaka watu wakuondoe nakukufukuza kwa aibu.

Sekta ya elimu umetudharau sana kwa kutupa kejeli walimu na kutoona mchango wetu. Tunakukaribisha na tunakujua ukishinda tena utarudi kwa visasi sasa hatutalikubali hili lazima tuhakikishe haupiti kwa vyovyote vile.
Tuna imani na Rais wetu hata alivyokuja Muleba kwenye ziara alituambia sisi ndio tunachagua watu wa ajabu kwahiyo awamu hii hatutaki kumuangusha rais wetu na kamwe hatutakuchagua.

Bye bye Mwijage uliyeshindwa kufungua hata kiwanda cha viberiti jimboni kwako.

Wako
Kiboko.

bb84d8a5-f07e-4306-be0a-ac1b2cb8fb24.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiboko.View attachment 1457630

Sent using Jamii Forums mobile app
As long as ni wa CCM potelea mbali, all are useless!
 
WATU WANAKIMBILIA KUNUNUA NDEGE WAKATI BADO KUNA SHULE ZINA MUONEKANO HUO HAPO JUU?
THIS IS SHAME
 
Kyooma pole sana, lkn malalamiko yako hayatakuwa na tija kama bado utaendelea kuichagua ccm, hapo ni sawa na kilio cha samaki maana machozi yako hayata onekana

In God we Trust
 
Hiyo ni shule au kilabu cha pombe?
 
Mbona hoja zako zimejikita kwenye maeneo machache,,una uhakika gani kama maeneo mengine yana mtizamo kama wako,,tuhuma umezipeleka kwa mbunge,,,vp diwani wako hana nafasi ktk kutatua changamoto zenu,,kumbuka mkitegemea kila kitu mbunge awafanyie mtasubiri sana na mtakuwa wasindikizaji wazuri wa maendeleo.

Aliondoaje nguzo za umeme wakati hilo liko chini ya Wizara ya Nishati?
 
Back
Top Bottom