Elections 2020 Ado Shaibu: ACT kumsimamisha Membe iwapo atatimiza vigezo vinavyotakiwa

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
22,110
2,000
ACT wazalendo imebainisha msimamo wake kuhusu uwezekano wa kumsimamisha Bernad Membe nafasi ya kugombea Urais iwapo atajiunga na kutumiza vigezo vinavyotakiwa,hayo yamesema na katibu mkuu wa ACT wazalendo Ado Shaibu alipozungumza na Nipashe.

Naona ACT wanafanya kosa lile lile waliyofanya chadema,hivi vyama vya upinzani vimekuwa takataka ya wagombea wanaowekwa dustbin kule CCM
 
Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
6,379
2,000
ACT wazalendo imebainisha msimamo wake kuhusu uwezekano wa kumsimamisha Bernad Membe nafasi ya kugombea Urais iwapo atajiunga na kutumiza videzo vinavyotakiwa,hayo yamesema na katibu mkuu wa ACT wazalendo Ado Shaibu alipozungumza na Nipashe.

Naona ACT wanafanya kosa lile lile waliyofanya chadema,hivi vyama vya upinzani vimekuwa takataka ya wagombea wanaowekwa dustbin kule CCM
Membe kucheka cheka na ACT is political suicide!
 
Ngapulila

JF-Expert Member
Dec 14, 2013
712
1,000
ACT wazalendo imebainisha msimamo wake kuhusu uwezekano wa kumsimamisha Bernad Membe nafasi ya kugombea Urais iwapo atajiunga na kutumiza vigezo vinavyotakiwa,hayo yamesema na katibu mkuu wa ACT wazalendo Ado Shaibu alipozungumza na Nipashe.

Naona ACT wanafanya kosa lile lile waliyofanya chadema,hivi vyama vya upinzani vimekuwa takataka ya wagombea wanaowekwa dustbin kule CCM
Kitengo wapo vzr sana .Ukiapa kulitumikia Taifa n muhimu kuwa mzalendo
 
Elungata

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
34,933
2,000
Ndo yale chadema waliyotuletea,wameleta lowasa na akawakimbia tena, wapinzani ni wapumbavu sana
Tatizo la cdm Ni kutojiamini tu,,kisiasa kuhama vyama ndo siasa zenyewe hizo,,lowasa aliwainua Sana cdm,ila kura hazikutosha,,so haina maana Sasa eti ndo inekuwa dhambi kuchukua wageni na kuwapa ugombea,,mbona hata CCM wanachukua kina waitara na kuwapa ugombea?,siasa Ni game na ili ushinde lazima uwe,Master of the Game
 
Elungata

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
34,933
2,000
ACT wameona NCCR kitkuwa chama kikubwa hivyo wameamua kujilipua angalau wapate ruzuku bara
Ndo ujanja wenyewe huo wa kisiasa,wakati cdm bado wanamanga manga,nasikia wanafikilia mgombea awe msigwa au Joseph mbilinyi,,wao ACT wameshaanza kuACT,na kwa member Hilo Ni kulamba jokeli,hata asiposhinda urais,atawainua act Hadi namba two
 
hp4510

JF-Expert Member
Jan 16, 2012
2,332
2,000
ACT wazalendo imebainisha msimamo wake kuhusu uwezekano wa kumsimamisha Bernad Membe nafasi ya kugombea Urais iwapo atajiunga na kutumiza vigezo vinavyotakiwa,hayo yamesema na katibu mkuu wa ACT wazalendo Ado Shaibu alipozungumza na Nipashe.

Naona ACT wanafanya kosa lile lile waliyofanya chadema,hivi vyama vya upinzani vimekuwa takataka ya wagombea wanaowekwa dustbin kule CCM
Chadema haikufanya makosa na walipata faida kubwa sana ya kumchukua lowasa
 
Jamalm335

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
2,210
2,000
Kuna haja hawa wanaojiita wapinzani wakae chini na kujitafakari. Wanaishi maisha ya kukariri sana. Wanarudia makosa hayo hayo kwa kutarajia matokeo tofauti. Ni kama vile mtu kujua kuwa njia unayopita ina shimo na ulishawahi kutumbukia lakini bado unapita hapo hapo kwa matumaini ya kuwa labda shimo litakuwa limejifukia.

Inafikirisha pia kuona hao hao wapinzani wanatarajia watu kutoka chama tawala ndio wanaofaa zaidi kuwa wagombea wa vyama vyao. Hili linapelekea kwenye fikra, kuwa wao kama wao hawana uwezo wa kuongoza wala kusimamia kile wanachokihubiri na kuwa chama tawala ndio bora katika kutoa watawala.

Ifike kipindi kina Zitto wasimame wenyewe kwenye kugombea uraisi hata kama wakijua watashindwa kuliko kutegemea makapi.
 
Consultant

JF-Expert Member
Jun 15, 2008
8,639
2,000
Pamoja na weaknesses za Membe, I bet he is smarter than this. ACT wanapoteza muda tu na janja yao ya kudhani watamchukua Membe na kumsimamisha ili labda awasaidie kupata viti vingi vya Ubunge (ruzuku nene) sidhani kama itafanikiwa.
 
Hiyo Ni plan C tu,🤣🤣Zito mwenyewe mbona anatoshea tu kuwa mgombea urais bila shida yeyote,na kwa zenj mgombea wanae Tena capable,
 
Savimbi Jr

JF-Expert Member
Sep 23, 2011
4,926
2,000
ACT wazalendo imebainisha msimamo wake kuhusu uwezekano wa kumsimamisha Bernad Membe nafasi ya kugombea Urais iwapo atajiunga na kutumiza vigezo vinavyotakiwa,hayo yamesema na katibu mkuu wa ACT wazalendo Ado Shaibu alipozungumza na Nipashe.

Naona ACT wanafanya kosa lile lile waliyofanya chadema,hivi vyama vya upinzani vimekuwa takataka ya wagombea wanaowekwa dustbin kule CCM
Chadema haijafanya kosa lolote la kumchukua Lowassa,Sasa waulize NZI wa kijani watakwambia 2015 ilikuwa hatari hawataki ile hali ijirudie ndio maana wamenunua wapinzani kwa gharama kama YOTE.

Membe kwenda ACT kwasasa tumbo la SISIEMU lishavurugwa ila ACT wamefanya mapema sana kuweka mkakati wao wazi.

KAZI NA BATA.
 
Top Bottom