Uchaguzi 2020 Ni sahihi bajeti ya kampeni CCM kuelekezwa kwenye huduma za Afya ya Jamii

chichiboy1

JF-Expert Member
Aug 22, 2015
1,262
1,620
Ni dhahiri kwamba kampeni za uchaguzi mkuu huambatana na gharama kubwa sana. Vyama vya siasa vimekuwa vikitumia gharama kubwa kuandaa mikutano, fulana, kofia, vipeperushi, takrima za hapa na pale n.k.

Kufuatia janga la Covid19, ambalo linaonekana kuendelea kuwepo katika jamii, napendekeza, kwa kuwa kiuhalisa CCM haihitaji nguvu kubwa katika kampeni za mwaka huu,itumie bajeti iliyopangwa kwa ajili ya kununulia ventilators kwa kila hospital ya wilaya, barakoa na NIMRCAF kwa kila mwanakaya, na ikiwapendeza wapanga bajeti wasiisahau ile milioni 50 kila kijiji.

Asanteni kwa kunisikiliza.
 
Back
Top Bottom