Uchaguzi 2020 Prof Kitila Mkumbo, high IQ, Iramba must grow from 2020...

Kidugu

Member
Apr 19, 2020
23
38
Iwe mvua Au jua watu wa Iramba tunamhitaji Prof. KITILA MKUMBO 2020 awe mwakilishi wetu Bungeni, Haya ni matamanio yetu kutoka nyoyoni mwetu wanaIramba, CCM na wanaccm tupo tayari kumsapoti.

Iramba haikupaswa kuwa hivi
 
Attachments

  • FB_IMG_15868964701798365.jpg
    FB_IMG_15868964701798365.jpg
    69.8 KB · Views: 1
Nikimtizama Kama mtu makini na mwadilifu saana kwa vijana,atakuwa msaada mkubwa ,msomi mwenye uchu wa kuona vijana pasipokujali rika wanafanikiwa,
Kati ya vitu mtakavojuta iramba ni kukubali wasanii kuliongeza hilo jimbo,

Kitila anaamini ktk hofu na huruma ,bado hajaharibiwa n siasa za kitapeli,anaamini ktk watu wa kwao!!
 
Iwe mvua Au jua watu wa Iramba tunamhitaji prof KITILA MKUMBO 2020 awe mwakilishi wetu Bungeni, Haya ni matamanio yetu kutoka nyoyoni mwetu wanaIramba, CCM na wanaccm tupo tayari kumsapoti,
Iramba haikupaswa kuwa hivi
Maprofesa wa nchi za wenzetu, hawalali wanakesha tu kwenye maabara na kwenye ma taasisi ya kielimu, wakiandaa academic stuffs na ku brainstorm mambo mbalimbali ya kitaaluma, lakini wakwetu elimu yao ndio kula yao!!

Ee Mungu, twakuomba utusaidie waAfrika sisi!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu yoyote aliyopo duniani mwenye high IQ hawezi kuwa kwenye siasa hata siku 1.
Huku kwenye siasa tupp wenye moderate IQ
 
Nani atamtoa Mwigulu? Sijaona hapo. Prof Kitila asiwaze hilo jimbo kwa sasa,mshindani wake anazo mbinu nyingi,mkulu ameshanaswa kwenye 18 zake
 
Nikimtizama Kama mtu makini na mwadilifu saana kwa vijana,atakuwa msaada mkubwa ,msomi mwenye uchu wa kuona vijana pasipokujali rika wanafanikiwa,
Kati ya vitu mtakavojuta iramba ni kukubali wasanii kuliongeza hilo jimbo,

Kitila anaamini ktk hofu na huruma ,bado hajaharibiwa n siasa za kitapeli,anaamini ktk watu wa kwao!!
Hapo kwenye huruma naona kuna ukakasi. Maana aliwatelekeza vizuri sana magereza wale vijana waliokuwa na kesi kutokana na mkutano wake kushambuliwa kwa mawe pale Ndago.
 
Kama anahofu ya mungu sawa sio hofu nyingine! Umdhaniaye ndiye siye! Binafsi mwigulu namuona akipigana na njaa ya maendeleo na sishawishi ila Hawa wawili Kama huwajui kaa kimya. Shilingi Ina pande mbili tukutane October kwenye sanduku la kura
 
Iwe mvua Au jua watu wa Iramba tunamhitaji Prof. KITILA MKUMBO 2020 awe mwakilishi wetu Bungeni, Haya ni matamanio yetu kutoka nyoyoni mwetu wanaIramba, CCM na wanaccm tupo tayari kumsapoti.

Iramba haikupaswa kuwa hivi
Kama atapitishwa na chama!
 
Back
Top Bottom