Uchaguzi 2020 Kiongozi mwandamizi wa Polisi anapogeuka mpiga kampeni wa CCM

Tunaelekea ktk uchaguzi mkuu 2020 na SACP Englebert Kiondo anatoa elimu ya uraia kuwa jeshi halitambui kitu chochote zaidi ya rangi ya kijani yaani CCM Mpya na ilani yake iliyopo ndani ya kitabu cha kijani.

Hii inatupa muelekeo jeshi hili litachapa kazi bila kuelewa chochote zaidi ya kulinda na kutetea kijani na siyo kuhakikisha kulinda haki na usalama wa raia wote bila kujali itikadi au vyama kama inavyoainishwa ktk Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 
Ni kawaida, hata haishtui, nchi ni mali ya mwenyekiti na ana uwezo wa kufanya chochote, cha umuhimu uhai tu.
 
View attachment 1453276

















Sina haja ya kuongeza kitu. Video inajieleza
Huyu bwana mnamshangaa, inatakiwa manao fahamu wawashangae nyie mnaoshanga. Mfumo wa wa Majeshi Duniani ni kufuata amri halali, na amri halali na kiongozi yeyote mwenye mamlaka kwa walio shika Dola labda pawe na maelekezo mengine kwa mkubwa zaidi ya aliye toa amri.

Hakuna kauli / au amri mbili kwenye Majeshi. ndio sababu ya kuitwa Disciplined forces. Mnavyo muona hivyo leo, ndiyo hivyo atakavyo fuata amri ya Chadema kwa ambao watakuwa na Madaraka wakati wowite chadema itakapochukua Dola.
Hakuna jipya.
 
Back
Top Bottom