Uchaguzi 2020 Wilfred Lwakatare kuombwa kugombea tena Ubunge kupitia CCM Bukoba

Kabulala

JF-Expert Member
Oct 13, 2019
695
935
Japo alitangaza kustaafu lakini ataombwa kutengua dhima yake na wanaCcm wa Bukoba ili aendelee kuwatumikia Wana Bukoba town kwani mchango wake bado unahitajika. POLITICS.
 
CCM wätakubali? Maana wamekabana kinyama, Chadema kuingia huko ni kuzidi kubana nafasi
 
Tuliopigania chama inakuwaje?
Inauma sana sana

Yaani jamaa hata week bado tayari anakuwa mbunge tena

Sisi wavaa kofia za kijani na T shirt kama pepe kale inakuwaje?
FB_IMG_1575390806699.jpg
FB_IMG_1575390800494.jpg
FB_IMG_1575390792397.jpg
 
Yaan hata uwenyekiti wa mtaa hawezi kupata walishamchoka na akasoma alama za nyakati ndio maana alifikia hayo mahamuzi, labda "ASINDULE EBIKONYA"
 
Wafukuzwe uanachama Chadema, alafu CCM ndiyo waumie haya mambo ya ajabu sana.
 
Back
Top Bottom