Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, amesema anamtaka Mwenyekiti wa CCM ajitokeze kwenye mdahalo wa ana kwa ana kujadili mustakabali wa taifa. Akizungumza katika mahojiano na Kituo cha...
7 Reactions
13 Replies
342 Views
Na je, Mkapuchini Jude Thaddeus Ruawa'ichi O.F.M.Cap, Archbishop of Diocese of Dar Es Salaam Tanzania, yu hali gani kisiasa kwa sasa? Au amerudishwa madhabahuni kwa lazima na katekista J...
8 Reactions
75 Replies
1K Views
Alichemka kule Geita, alionesha kuwa hakuna analojua na cha kushangaza akaletwa Dodoma Mji Mkuu, huku nako naona yaleyale! Je, alipita wapi huyu hadi kupewa cheo kama hiki kilichozidi kimo na...
5 Reactions
34 Replies
9K Views
Yericko Nyerere amevitaka vyombo vya ulinzi na usalama kuwa macho na viashiria vya maandamano anayodai yanaweza kuwa na mpango wa kuhatarisha amani. Kupitia mtandao wa X, Yericko amedai kuwa...
1 Reactions
19 Replies
284 Views
DEATH ANNOUNCEMENT Somaiya Family regrets to announce the sad and sudden demise of Mr Tanil Chandulal Somaiya on Wednesday 11 August in Dar es Salaam. Funeral details to be announced later. We...
13 Reactions
114 Replies
19K Views
Mheshimiwa Waziri Mkuu, Katika uongozi kuna siku za pongezi na kuna siku za lawama. Kuna siku watu watakushangilia na kuna siku watu watakosoa kila hatua unayopiga. Hayo yote ni sehemu ya safari...
1 Reactions
3 Replies
89 Views
Mbunge wa Bunda Mjini, Ester Bulaya, amepongeza hatua za Serikali za kubana matumizi kupitia mapendekezo ya bajeti mpya, akieleza kuridhishwa na uamuzi wa kuondoa baadhi ya tozo kwa magari...
2 Reactions
23 Replies
645 Views
  • Redirect
Wanaukumbi kuna hoja hii bungeni kumbe wenzetu wanazalisha sana mashoga. anadai huko mtaani kuna mashoga wengi sana, https://www.facebook.com/reel/849500724676882...
0 Reactions
Replies
Views
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, amelitupia lawama kali Jeshi la Polisi nchini akidai kuwa limepoteza weledi na kugeuka kuwa chombo kinachotumika kisiasa dhidi ya wapinzani...
3 Reactions
6 Replies
220 Views
Ni vema mtu huyu akajulikana na kufahamika Hii ni kwa SABABU Mtu huyu ni Mtekaji na Muuaji, Amenukuliwa ndani ya vikao vya Serikali akitoa kauli hiyo ya Kishenzi kwamba kila atakayebainika kutoa...
4 Reactions
14 Replies
396 Views
Ukweli ni kwamba kisiasa pamoja na taaluma yake ya uwakili Lissu alifuatwa na Mbowe akitokea NCCR-Mageuzi, Msigwa alitokea TLP 2005 alipata kura 8000 mgombea wa Chadema alipata kura 2000 ndipo...
18 Reactions
36 Replies
2K Views
Rais Mstaafu Mzee Kikwete akiongea wakati wa Dua ya kumuombea Heri mwendazake Yusuf Manji amesema baba yake Yusuf yaani mzee Manji alipokaribia kufa alimkabidhi mwanae Yusuf Manji Ili amlee. Dua...
21 Reactions
160 Replies
14K Views
Mambo yetu ili yanyooke mtoeni jamaa nje alafu moja kwa moja aje nyumba mithili ya meli ! Pale wanapoingia kwa code maalumu na hawaitani majina wanaitana chifu pili ukienda ijumaa aga kabisa...
18 Reactions
114 Replies
10K Views
Inasikitisha kuona kwamba maswali mengi yanayoulizwa bungeni yamekuwa ya kawaida sana, mara nyingine yakikosa uzito unaostahili kwenye chombo kikuu cha uwakilishi wa wananchi. Bunge linapaswa kuwa...
0 Reactions
0 Replies
80 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche akizungumza katika mahojiano kwenye kipindi cha Super breakfast cha EATV radio leo Juni 17, 2026. "Lissu ni mtu ambaye...
5 Reactions
7 Replies
167 Views
Kwa Nini Waziri Mkuu Lazima Awe Karibu na Wananchi? Mtazamo wa Kikatiba Anaandika Thomas Joel Kibwana, Mchambuzi wa Siasa Katika siku za hivi karibuni, baadhi ya wabunge na wanasiasa wa upinzani...
0 Reactions
1 Replies
79 Views
Ndiyo, kama ulipata D 2 au hata 3 huwezi kuelewa. Hili genge liliundwa na hawa tunaoona wakisifia kazi zake (kazi za genge). Kwani si mmeona watu wanasena fulani katekwa sababu ya ugomvi wa...
1 Reactions
11 Replies
155 Views
1. Suppose Rais wa Malawi anakuja hadharani na kuomba radhi kwa yaliyotokea 29.10.2025 2. Akiomba msamaha, akiomba tuanze ukurasa mpya. 3. Akatoa Katiba mpya as propounded by Warioba 4. Tume huru...
0 Reactions
17 Replies
161 Views
Nimepunguza bei kiwanja kutoka mil 60 hadi mil 45 heka 1 kipo kivule heka 1 kina fensi pande 3 kimepakana na barabaran kubwa za mtaa pande 3 piga 0718 408 733 hati ya serikali za mtaa mauziano...
1 Reactions
2 Replies
110 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…