1. Suppose Rais wa Malawi anakuja hadharani na kuomba radhi kwa yaliyotokea 29.10.2025
2. Akiomba msamaha, akiomba tuanze ukurasa mpya.
3. Akatoa Katiba mpya as propounded by Warioba
4. Tume huru ya uchaguzi kama ya Kenya at least.
5. Akaahidi fidia kwa wahanga
6. Fukua makaburi watu wazike wapendwa wao!
Swali, je mtakubali msamaha huo?
IF IT WERE YOU, utakomaa na ICC?
HYPOTHETICAL.....