Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

  • Redirect
Iwe ni Wauza Samaki au wamiliki wa maduka. Kwa sababu wameanzisha ubaguzi wao wenyewe. Kuanzia kesho kuwa na vuguvugu kubwa la kuwatimua na kugomea shughuli zote za WazanIbari. Na watimuliwe...
0 Reactions
Replies
Views
Kitu ambacho unapaswa kujua ni kwamba, Ndani ya Chadema haifahamiki yupi ni striker yupi ni beki Hotuba aliyoitoa Maranja Masese huko Mlimba imetikisa kiasi cha wananchi kuuliza ikiwa Maranja ni...
6 Reactions
19 Replies
394 Views
Mbunge wa Kilombero, Asenga Abubakar, ameitaka serikali kuingilia kati na kukomesha tabia ya baadhi ya viongozi na watendaji wa serikali mikoani kuendekeza siasa za chuki na visasi baada ya...
3 Reactions
10 Replies
314 Views
Hii Serikali ambayo ilishinda kwa kishindo 98% inaogopa maandamano ya watu ambao ni wachache sana ? Inaanza kunipa mashaka na ushindi wao 98% ni kama...
7 Reactions
15 Replies
184 Views
Najaribu kufikiri kidogo hapa. Hali ikiwa kama hivi ilivyo mpaka 2029 na 2030, unafikiri chaguzi ztafanyikaje na hali itakuwaje kitaifa na kimataifa?
0 Reactions
4 Replies
112 Views
Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Patrick Mwalunenge, ameitaka Serikali kurasimisha sekta isiyo rasmi inayohusisha wamachinga, madereva wa bodaboda na bajaji kwa kuwa makundi hayo yana mchango...
0 Reactions
1 Replies
143 Views
  • Featured
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila akizungumza na Wenyeviti na Watendaji wa Mitaa na Kata leo Juni 15, 2026 amesema; "Kwasababu mmeona pia hata kwenye mitandao, baadhi ya watu...
14 Reactions
220 Replies
4K Views
Mama yeye ajali anakula pesa za kodi na madili kama hana akili vile. Lakini taifa tunapigwa kila kona. Sababu kubwa ni tamaa zake binafsi ili aonekane kashinda kwa 97% kura fake. Hadi waangalizi...
7 Reactions
15 Replies
266 Views
  • Redirect
Bunge la Seneti la Marekani limetaka kuanza kwa mazungumzo ya maridhiano kati ya Serikali inayoongozwa na CCM na vyama vya upinzani, ikiwa ni sehemu ya mapitio ya uhusiano wa kidiplomasia kati ya...
0 Reactions
Replies
Views
KADA WA CCM ANENA MAZITO ASEMA TUNDU LISSU AACHIWE HURU, KESI YAKE INACHAFUA NCHI: https://youtu.be/A6CM2jGSguk?si=kiwpYFlmbNlVDG1N msikilize kwa makini bila chuki yoyote .utajifunza kumbe bado...
0 Reactions
4 Replies
106 Views
WAZIRI KOMBO ATETA NA BI. HOOKER WA WIZARA YA MAMBO YA NJE MAREKANI. Tanzania na Marekani zimeonyesha dhamira ya kuendeleza uhusiano wa kidiplomasia baada ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano...
5 Reactions
30 Replies
599 Views
Mbunge anadikiki kutamka, kuwa wenzetu wana Sovreingty sisi hatuna. Hii ina maana kuwa hawatambui kuwa kuna Tanzania
1 Reactions
9 Replies
189 Views
  • Redirect
Waziri wa fedha na mipango Zanzibar Dkt Juma Malik Akili amesema manufaa ya Zanzibar na hadhi yake ni makubwa sana katika serikali yw Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akisisitiza kuwa zaidi ya...
0 Reactions
Replies
Views
Ndugu zangu, mimi ni mwananchi wa kawaida kabisa, sina ufahamu wa mambo mengi kiasi cha kuchanganywa na mambo mengi, leo naomba kupata ufahamu kuhusu umuhimu wa katiba mpya na umuhimu wa kufanyika...
0 Reactions
0 Replies
80 Views
Rais Samia kumuapisha Mtendaji Mkuu wa Mahakama Dkt. John Jingu, Juni 19, 2026 Dar es Salaam. Pia soma - Uteuzi: Dkt. John Jingu ateuliwa kuwa Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania akichukua...
0 Reactions
3 Replies
226 Views
Binafsi siyo muumini wa kutegemea changamoto za Taifa kutatuliwa na mataifa mengine kama Marekani au kwingineko . Nimuumininsana wa kuziishi kanuni . Binafsi naamini upungufu wa hekima unaweza...
24 Reactions
176 Replies
3K Views
Ofisi Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Nyasa zilizopo Kadege mkoani Mbeya zimevamiwa na kuvunjwa na watu wasiojulikana, huku kiasi kikubwa cha mali, vifaa vya...
6 Reactions
15 Replies
333 Views
Kwamba ndugu Polepole alikuwa hajui kama kujirecord vidio kama zile na upo ndani ya nchi ingemletea shida? Kwamba alikuwa na uelewa mdogo kuhusu teknolojia? Inakuwaje unajipiga picha au...
12 Reactions
84 Replies
2K Views
MAANDIKO YANASEMA...TUTAWAGUNDUA KWA VINYWA NA MATENDO YAO. Natamani iwe kama Usajili ili tusajili Wabunge hawa wawe ndani ya Bunge letu na taasisi zenye dhamana ya kulinda Utu na Uhai wetu...
6 Reactions
3 Replies
144 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…