Uzoefu wa kimataifa unaonesha kuwa takribani asilimia 25 ya utajiri wa baadhi ya mataifa yaliyoendelea unatokana na ufanisi wa taasisi, huku rasilimali za asili zikichangia karibu asilimia tano...
Na ni muhimu sana wadau wa Jf kufahamu hili. Tanzania kama nchi huru, kamwe haiwezi kubabaishwa na mabadiliko ya kidiplomasia au kimaendeleo na taifa ambalo haliheshimu uhuru wa mataifa mengine...
Mbunge wa Kigoma Mjini Clayton Revocatus (Baba Levo), akichangia Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa 2026/2027, leo Juni 22, 2026 Bungeni, amesema hatokubali ongezeko la tozo kwa Maafisa...
Professor Assad ametolea ufafanuzi kuhusu suala la upotezo wa zile Trillion 1.2 katika hesabu za matumizi ya serikali wakati yeye akiwa katika nafasi ya CAG.
amemuuliza Professor Assad kuwa, ingetokea tukarudisha miaka nyuma, angetengua ile kauli aliyodaiwa kuisema kuwa Bunge la Jamburi ya Muungano wa Tanzania ni dhaifu!?
Proffesor Assad amejibu...
MACBETH USIDANGANYWE NA WANGA!
.... wengine wanakuita Yuda Iscariot yule msaliti, lakini wakati huohuo wengine wanakupamba kuwa wewe ndiye simba wa Yuda mwenyewe, lakini baba yangu mi Kishimbe wa...
Kuna ka kisiwa mita kadhaa kutoka Kigamboni, kabla Jumbe hajapelekwa ANSUYA NAVAS kisota alianzia huko inasemekana,
Nauliza kaliendelea kutumika kuficha waarifu, wahujumu uchumi na watuhumiwa wa...
Habari ya kunishtua kidogo ni kwamba magwiji matycoon, watakuwa nje soon , ama kwa dhamana au kwa makubaliano maalumu,
Nadhani hawakupaswa watoke maana Magufuli alionesha uthubutu wa kuwaweka...
CHAMA cha Mapinduzi (CCM) kimebainisha misingi mikuu inayokifanya chama hicho kuendelea kuaminiwa na kushinda chaguzi kuu za kiserikali nchini Tanzania.
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo...
Kaimu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche, akiwa Mbarali, Mbeya Juni 22, 2026 amesema
"Tuko kwenye ziara. Leo ni siku ya tano. Na tangu nimeanza mikutano ya...
Nimemsikia mtoto mmoja wa shule hapo hajui hata wajibu wa Mbunge, anasema John Heche amesoma shule ya Umoja wa Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi Bulima, ni kweli nimesoma shule ya Bulima lakini...
Kama mtamzania niliyeishi kwenye tawala zote tangu tupatie uhuru hadi Leo hii nashindwa kujua.
Kumekuwa na matukio mengi sana hapa nchini yanafanyika kila kukicha hasa ya kutisha kabisa na mtu...
- Huyu shehe Mwaipopo, mnyakyusa bila shaka. Kuonyesha mbele ya camera kwamba anamiliki kikundi cha kigaidi ni jambo la kuogofya kitaifa na kimataifa.
- Kwa shehe kuonesha hadharani sura yake na...
Baraza la Machifu na Wazee wa Kimila Mkoa wa Ruvuma limekanusha kumtambua John Heche kama Chifu wa Wangoni, likidai kuwa tukio la kuvikwa uchifu Juni 20, 2026 halikufuata taratibu za mila na...
Katambi Awaonya Wahalifu na Maandamano haramu ya Tarehe 7
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amewaasa watu wanaotoa kauli za kichochezi katika mitandao ya kijamii, majukwaa ya...
🚨 BREAKING NEWS: WE WON TODAY! 🚨
Na Tausi Likokola, Washington DC - USA
We did not give up. We did not stay silent. Today, we moved one step closer to justice.
The Reassessing the United...
CHADEMA mngemsikiliza Yericko Nyerere kuhusu ruzuku msingefikia hapa mlipofikia. Yericko alionya kuwa ni ngumu sana kuendesha chama bila ruzuku. Chama hakiendeshwi kwa michango kwa nyakati...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imekanusha vikali madai yaliyomo kwenye rasimu ya hoja ya kimataifa inayovumisha kuwa nchi hiyo "ilikataa" ziara ya Kamati Ndogo ya Bunge la Ulaya...
Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Buluba Mabelele, ametoa msimamo wake kuhusu sakata la mwanasiasa wa upinzani, Tundu Lissu, akieleza kuwa yuko upande wake na anatamani...