britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 17,983
- 45,869
Habari ya kunishtua kidogo ni kwamba magwiji matycoon, watakuwa nje soon , ama kwa dhamana au kwa makubaliano maalumu,
Nadhani hawakupaswa watoke maana Magufuli alionesha uthubutu wa kuwaweka ndani, mpaka mzee Rugemalila ukimuangalia huwezi kumjua, Sing ndo kitambi chake kimeisha kabisa,
Naambiwa kutokana na IPTL kuwashinda Tanesco ni nguvu kwa Kina Rugemalila na Singh Seth,
Ukirejea matamshi ya Jakaya kikwete ambaye amekuwa waziri wa nishati na madini kipindi mkataba uo unasainiwa alafu akawa Rais, na kusema kwamba Hela za Escrow si zetu ni za kina Rugemalila na Seth kuna mengi alikuwa kayaona,
Mdokezo
Itakuwa ni makubaliano na serikali kuwataka wafungue kesi ya kugombea IPTL dhidi ya Stan Chart HGK. Kuna kosa la kisheria kwa mtambo wa IPTL kuwekwa dhamana katika mkopo ambao Stan Chart HGK iliutoa kwa Mechma bila kushirikisha Rugemalira. Kisha kuna madai ya Sethi Singh kuwa ana miliki hisa na ana nakala halisi za hisa za IPTL. Kwa njia hii Serikali itakuwa imeamua kuwatumia hawa wawili on condition ya kuwachia ila wao watumike.
Ngoja nione kama itakuwa kweli watatoka, maana aliyeniuma sikio si wa mchezo