amemuuliza Professor Assad kuwa, ingetokea tukarudisha miaka nyuma, angetengua ile kauli aliyodaiwa kuisema kuwa Bunge la Jamburi ya Muungano wa Tanzania ni dhaifu!?
Proffesor Assad amejibu -“Hakuna sehemu hata moja mimi nilisema Bunge ni dhaifu, yalikuwa maneno ya Marehemu Ndugai, nilisema kama kuna udhaifu ndani ya Bunge basi ufanyiwe kazi kwani ni kwasababu lilishindwa kusimamia mapendekezo. Sikuwahi kusema na hakuna ushahidi wowote kama nilisema Bunge ni dhaifu” - Prof Assad