Nitawashangaa CHADEMA kama watampitisha Tundu Lissu kuwa mgombea wao wa Urais
Sababu ni hizi;
Mosi, Tundu Lissu ni mgonjwa. Baada ya matatizo yaliyompata huyu ndugu yetu kule dodoma, uwezo wake...
Mwenyekiti wa Chama Cha TLP Taifa , Augustine Mrema amesema atazunguka nchi nzima kumnadi Rais Dkt John Magufuli kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu na kwamba haya si maamuzi yake binafsi bali ni ya...
Chama makini siku zote huwa kinawajali wananchi waliokipigia kura na kuwaweka madarakani. Hii ni kw a sababu huu ni mkataba kati ya wapiga kura na wale waliochaguliwa.
CCM baada ya kuchaguliwa...
Tafsiri ya neno demokrasia ni kiongozi aliyechaguliwa na watu katika uchaguzi ulio huru na wa haki kwa ajili ya kuwatumikia watu
Tumemsikia wenyewe Rais Magufuli katika ziara yake akiwa huko...
Tofauti na wabunge wengine wa viti maalumu, hawa wateule wa Rais wameonyesha dhamira ya kweli ya kuwatumikia wananchi.
Dkt. Tulia yuko jijini Mbeya akijaribu kumtunishia misuli mbunge aliyemaliza...
Wakurungwa tuwe tu wakweli na tuseme uwazi.
CHADEMA isitegemee kupata Rais , Wabunge wala Madiwani kwenye Uchaguzi Mkuu 2020. Na hata vyama vingine vya upinzani wasitegemee katika hilo...
Mwaka 2015 Chadema iliazima mgombea kutoka chama tawala ikitarajia kushinda kwa kishindo, matokeo yake wote tunayafahamu waliangukia pua. Baadaye mgombea huyo aliwatelekeza na kurudi nyumbani...
PAZIA la kuchukua na kurejesha fomu za kuwania urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), limefungwa rasmi jana jioni. Sasa wagombea 31 wanasubiri mchujo wa vikao vya chama hicho tawala...
Leo tarehe 19/06/2020, nikiwa imara kimwili, kiakili na kifikra nilipata wasaa maalumu wa kumdhamini mwombaji wa nafasi ya URAIS kupitia chama chetu #CCM Mh Dkt John Pombe Joseph Magufuli...
Mi naona kwa harakati hizi zinazoendelea za mh rais za kuzindua miradi mbali mbali kuna kampeni zinaendelea^kufanywa hapo hapo.
Upinzani mmeshashikwa pabaya mmeachwa sana shtukeni hamna lenu...
Gazeti la the Citizen lina ripoti kuwa kampuni ya Ms Ren-Form CC ndio imeshinda tenda ya bilioni 14.4 baada ya kuishinda kampuni ya kutoka Dubai.
Gazeti hilo linadai kuwa pia NEC hawajakubali au...
Naomba kujua gharama za fomu kwa wale wote wanaotaman kugombea kupitia CCM wanatakiwa kulipia kiasi gani Cha fomu. Yaani ngazi ya Udiwani na Ubunge (Urais najua ni 1 Million)
Asanteni.
Mwandishi John Marwa akamatwa na kunyimwa dhamana ya polisi kwa kumchafua naibu waziri Mwita Waitara
- Ni katika malumbano ya kisiasa katika kundi la whatsapp la jambo Tarime
- *Mpelelezi wake...
Siasa ni sayansi na mipango.
Nawapa tu angalizo ndugu zangu wa Chadema kwamba wawe na hii kumbukumbu kwamba Dkt. Magufuli amedhaminiwa na watu zaidi ya milioni moja ili agombee urais.
Panapo...
Naomba nilizungumze hili kwa moyo wa dhati kabisa na kwa mapenzi makubwa kabisa ya chama changu. Bado tunaamini kwamba chama chetu hakijapata mbadala wake na bado hakuna dalili hizo kwa maneno ya...
Wapendwa wangu wa JF nawasalimu nyote. Kuanzia makada wenzangu wa CCM na watadi wetu wa jadi CHADEMA na wapinzani wote kwa ujumla, nawapa taarifa.
Mimi Mzee Tupatupa wa Lumumba, kwa gharama...
Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa pamoja na mkewe, Regina Lowassa wamemdhamini Rais Magufuli ili atete kiti cha Urais kwenye Uchaguzi Mkuu, Oktoba 2020.
Ni miongoni mwa wana CCM waliojitokeza...
Nitoe tu angalizo kama ambavyo maalim Seif wa ACT Wazalendo ameona ni heri akainyemelea tena nafasi ya makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar.
CHADEMA pambaneni muitetee nafasi mliyonayo Bungeni ya...
Wakati joto la Uchaguzi likizidi kupamba moto hapa nchini nafasi ya ubunge jimbo la Arusha mjini ndani ya CCM imegeuka kaa la moto baada ya vigogo kadhaa kupigana vikumbo.
Baadhi ya vigogo hao ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.