Uchaguzi 2020 Naomba kujuzwa gharama za fomu za CCM

kichakaa man

JF-Expert Member
Oct 20, 2011
5,479
5,068
Naomba kujua gharama za fomu kwa wale wote wanaotaman kugombea kupitia CCM wanatakiwa kulipia kiasi gani Cha fomu. Yaani ngazi ya Udiwani na Ubunge (Urais najua ni 1 Million)

Asanteni.
 
Na fomu ya URAIS ilichapishwa moja tu kwaajili ya mfalme.
 
Back
Top Bottom