Uchaguzi 2020 Nia thabiti ya kuwaletea watanzania maendeleo imeifanya CCM ishinde uchaguzi 2020

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
6,273
6,637
Chama makini siku zote huwa kinawajali wananchi waliokipigia kura na kuwaweka madarakani. Hii ni kw a sababu huu ni mkataba kati ya wapiga kura na wale waliochaguliwa.

CCM baada ya kuchaguliwa kwa mara nyingine 2015 ili hakikisha kuwa itafanya juu chini inarekebisha makosa yake na kuhakikisha inatekeleza ahadi zake na ilani yake ya uchaguzi.

Ni kwa muda mfupi tu wa miaka minne CCM awamu hii imefanya makubwa mno.

Imeimarisha sekta ya afya, elimu na miundo mbinu. Na kwa kutekeleza haya wananchi kila kona ya Tanzania wanasema wataichagua Ccm kwa ngazi zote, ubunge, udiwani na urais.

Na katika historia ya Tanzania huiu utakuwa uchaguzi rahisi kwa CCM. Maana wapinzani wote wameshanyoosha mikono juu.
 
Mafanikio huwa hayapimwi kwa nia ya dhati bali yanapimwa kwa matokeo!
 
Hmmm mɓaƴa sana hii😁😀😀 kwaiƴo mmeshashinɗa na uchaguzi ungali ɓaɗo😂😂
 
Hmmm mɓaƴa sana hii😁😀😀 kwaiƴo mmeshashinɗa na uchaguzi ungali ɓaɗo😂😂
Hakuna ubaya mkuu, lazima chama kijue kiliposimama kabla ya uchaguzi kwani nia ya kila chama ni kukamata dola.
Na kwa Hilo CCM ilishashinda siku nyingi sana kwa iliyofanya kwa wananchi wake walio wengi kwa miaka5. Kinachosubiriwa ni ushindi wa kikatiba ndani ya sanduku la kura
 
Back
Top Bottom