Na Fundi Madirisha, Muhintiri-Ikungi-Sigida.
Katika harakati zangu za kupitapita katika kila kona ya jimbo la Singida Magharibi ili kujipatia taarifa muhimu juu ya mwenendo wa siasa za jimbo...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu naomba mtumie fursa hii kutufahamisha makada waliotia nia haya majimbo
1. LINDI MJINI
2.MTWARA MJINI.
Hili jimbo nasikia ndo...
Habari wakuu!
Jana Askofu Gwajima ametangaza nia ya kugombea ubunge kwa tiketi ya chama tawala na ametoa sababu nyingi tu kwa nn yy ni Askofu na anataka kuingia kwenye siasa! Mm kama mtumishi wa...
Siasa ni sayansi.
Kustaafu kwa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mh. Mwanri siyo habari njema kwa mbunge wa Siha mh Dr Mollel.
Kipingamizi pekee kilichokuwa kinamfunga mh Mwanri kugombea ubunge...
Kesho, Jumatatu, Julai 6, 2020 Rais Magufuli anatarajiwa kutangaza kujaza nafasi za baadhi ya mashirika ya umma na taasisi kwa vigogo walioandika barua za kuacha nafasi zao ili wakagombee ubunge...
Nimemuangalia Rais Magufuli kwenye mikutano mingi sana akihutubia. Niseme tu kuna uhodari fulani anaukosa kwenye kuhutubia ambao ni 'Precision' - usahihi na umakini wa maneno.
Usahihi na umakini...
Ndugu zangu,
Zitto sasa anaonekana ni mwanasiasa anayesikiliza tumbo lake na sio wafuasi wake wala falsafa alizowahi kuaminisha kuwa yeye ni muumini wa "siasa za kijamaa".
"Ajizi nyumba ya njaa"...
MIMI LESLIE OSCAR MBENA NINAYEJULIKANA PIA KAMA MSEMAKWELI CHAKUBANGA, NATANGAZA NIA YA KUGOMBEA UBUNGE KATIKA JIMBO LA MOROGORO MJINI.
Leo 20:30pm 02/07/2020
Imani yangu kwa Rais John Pombe...
" HAYA NDIO MAMBO MATANO( 5 ) KATI YA ISHIRINI NA MOJA ( 21 ) YANAYOISUKUSUMA ZAIDI LABOUR PARTY YA TANZANIA KUMUUNGA MKONO MHE DK JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI KUELEKEA OCT 2020 "
1. Watumishi...
Kutokana na maongezi ya vigogo wa chama fulani kuvujishwa mitandaoni kwa siku za karibuni huku wahusika wakipeta utadhani hawajavunja sheria, nawashauri sana kuepuka kujadili mipango yenu yoyote...
Wote ambao mmekuwa mkifutilia rallies za vyama vya upinzani (hapa "upinzani" strictly ninamaanisha ACT & Chadema) hapana shaka mtaafikiana nami kuwa mwamko wa wananchi ku support kambi hii ni...
" Mimi ndiyo mwenyekiti nitashawishi vikao vyote vya UDP kwamba @ccm_tanzania wakimteua @MagufuliJP kuwa mgombea Urais na sisi tutamuunga mkono lakini wasipomteua basi tutaangalia namna nyingine "...
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro amewaonya watu wanaotegemea kufanya fujo kipindi cha uchaguzi mkuu na kusema watashughulikiwa kwa mujibu wa sheria.
Akizungumza na maofisa wa Jeshi...
Nimepata habari nikiwa safarini kutoka Kyela kuja DSM kwamba eti wewe Kitila Mkumbo umemkimbia Mwigulu kwenu Iramba na kuja kujaribu bahati yako jimbo la Ubungo , Nakukaribisha , lakini...
Wapo wana CCM walioamua kuichafua CCM Mwaka 2015 kisa ni maslahi yao binafsi (sio kufuta upepo wa Lowassa) yaani waliamua kufanya fitina ili CCM ianguke ingawa CCM haikunga ili survive...
Wakuu habari!
Niende moja kwa moja kwenye mada.ujumbe huu umfikie rais Joseph magufuri.
Katika uchaguzi huu magufuri atashinda kwa asilimia nyingi sana kwani mengi amefanya aliyoyahahidi kipindi...
Hello Wana JF,
Tanzania ni nchi ya vyama vingi tangu 1992!
Tulikubaliana wenyewe kwamba tuendeshe nchi yetu kwa taratibu za kidemokrasia kwa kuruhusu mfumo wa vyama vingi.
Na kwa mantiki hiyo...
Hakika TLP kumenoga,
Mhe Boniface Budodi atangaza nia ya kugombea Ubunge kupitia TLP,
Atuma salamu kwa Mhe Mashimba Ndaki,
Awaomba wana Maswa wampokee mtoto wao na mtumishi wao,
Awaomba...
Team salaam!
Safari ya TLP kuelekea Oktoba 2020 imepamba moto kwelikweli,
Leo chama chetu kimepokea tena Mgombea Wa Ubunge toka Same Magh Mhe. Mch Michael Msigati,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.