Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,997
Ndugu zangu,
Zitto sasa anaonekana ni mwanasiasa anayesikiliza tumbo lake na sio wafuasi wake wala falsafa alizowahi kuaminisha kuwa yeye ni muumini wa "siasa za kijamaa".
"Ajizi nyumba ya njaa" sio Zitto wala Mbowe anayeweza kumkataa Membe kuwa mgombea wa Chama chake eti kisa "itikadi" au "wafuasi hawafurahii"
Kwa taarifa za uhakika wote Chadema na ACT wanakimbizana kuhakikisha wanatekeleza masharti ya Benard Membe na wameshaonywa kuwa atakayewahi ndiye "atalamba dume"
Nimalize tu kwa kusema "kiwango cha njaa cha Zitto kwenye medani za siasa kulingana na cha Mbowe muda wowote kuanzia sasa.