Uchaguzi 2020 IGP Simon Sirro awaonya wanaojipanga kufanya fujo uchaguzi Mkuu

mkiluvya

JF-Expert Member
May 23, 2019
802
725
1593846911137.png
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro amewaonya watu wanaotegemea kufanya fujo kipindi cha uchaguzi mkuu na kusema watashughulikiwa kwa mujibu wa sheria.

Akizungumza na maofisa wa Jeshi hilo jijini Arusha IGP Simon Sirro amewahakikishia wananchi kuwa uchaguzi utakwenda vizuri kama ulivyopangwa na jeshi hilo litaendelea kutenda haki.

Amesema askari wa Jeshi hilo wamepata mafunzo ya kutosha yatakayowawezesha kukabiliana na matishio mbalimbali ikiwemo uhalifu na wahalifu pamoja na mbinu nyingine za kuwashughulikia wanaovunja sheria na kuwataka askari wa jeshi hilo kuendelea kutoa elimu kwa wananchi
 
Anaanza kujihami ili apate kisingizio cha kuchakachua kura! Akisimama Membe na Magufuli, Magufuli atapata wakati mgumu sana. Infact hakuna kipindi ambacho CCM wana wasiwasi kama uchaguzi huu.
1. Magufuli hakubaliki sehemu nyingi
2. Ndani ya CCM nako kuna wengi hawamtaki na wapo tayari kumpa mtu mwingine.
 
View attachment 1497212
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro amewaonya watu wanaotegemea kufanya fujo kipindi cha uchaguzi mkuu na kusema watashughulikiwa kwa mujibu wa sheria. Akizungumza na maofisa wa Jeshi hilo jijini Arusha IGP Simon Sirro amewahakikishia wananchi kuwa uchaguzi utakwenda vizuri kama ulivyopangwa na jeshi hilo litaendelea kutenda haki. Amesema askari wa Jeshi hilo wamepata mafunzo ya kutosha yatakayowawezesha kukabiliana na matishio mbalimbali ikiwemo uhalifu na wahalifu pamoja na mbinu nyingine za kuwashughulikia wanaovunja sheria na kuwataka askari wa jeshi hilo kuendelea kutoa elimu kwa wananchi
Ulete ule msimamo wa 2010 ulipokuwa RPC Mwanza!! wale wasambaza maboksi yaliyokwishapigiwa kura bila shaka intelenjisia yako itawakamata mapema kabla hawajafika eneo la tukio
 
Hili onyo bila shaka linawalenga GREEN GUARD wa CCM. Hawa viumbe sijui wanatumia bangi ya nchi gani. Huwa hawaoni kazi kuwajeruhi wapinzani wao wa kisiasa kwa mapanga hasa nyakati za uchaguzi!
 
Anaanza kujihami ili apate kisingizio cha kuchakachua kura! Akisimama Membe na Magufuli, Magufuli atapata wakati mgumu sana. Infact hakuna kipindi ambacho CCM wana wasiwasi kama uchaguzi huu.
1. Magufuli hakubaliki sehemu nyingi
2. Ndani ya CCM nako kuna wengi hawamtaki na wapo tayari kumpa mtu mwingine.
Sio Mbowe wewe ni Tundu Lissu.. upinzani sahivi hatutafanya makosa ya kizembe.
 
Anaanza kujihami ili apate kisingizio cha kuchakachua kura! Akisimama Membe na Magufuli, Magufuli atapata wakati mgumu sana. Infact hakuna kipindi ambacho CCM wana wasiwasi kama uchaguzi huu.
1. Magufuli hakubaliki sehemu nyingi
2. Ndani ya CCM nako kuna wengi hawamtaki na wapo tayari kumpa mtu mwingine.
Magu wala hana wasiwasi na Membe maana ni mwenzao huyo kwa sasa akifanya kazi maalumu.

Lissu ndiye wanajua akipanda jukwaani atawapaka mwanzo mwisho.
 
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro amewaonya watu wanaotegemea kufanya fujo kipindi cha uchaguzi mkuu na kusema watashughulikiwa kwa mujibu wa sheria.

Akizungumza na maofisa wa Jeshi hilo jijini Arusha IGP Simon Sirro amewahakikishia wananchi kuwa uchaguzi utakwenda vizuri kama ulivyopangwa na jeshi hilo litaendelea kutenda haki.

Amesema askari wa Jeshi hilo wamepata mafunzo ya kutosha yatakayowawezesha kukabiliana na matishio mbalimbali ikiwemo uhalifu na wahalifu pamoja na mbinu nyingine za kuwashughulikia wanaovunja sheria na kuwataka askari wa jeshi hilo kuendelea kutoa elimu kwa wananchi
Inspector General of CCM.
 
IGP bana...
Kanichekesha :D :D maana anafurahisha genge...Huku siyo kutafuta vijisababu vya kuwaweka ndani wale wa upande mmoja kweli??

Everyday is Saturday...........................:cool:
 
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro amewaonya watu wanaotegemea kufanya fujo kipindi cha uchaguzi mkuu na kusema watashughulikiwa kwa mujibu wa sheria.

Akizungumza na maofisa wa Jeshi hilo jijini Arusha IGP Simon Sirro amewahakikishia wananchi kuwa uchaguzi utakwenda vizuri kama ulivyopangwa na jeshi hilo litaendelea kutenda haki.

Amesema askari wa Jeshi hilo wamepata mafunzo ya kutosha yatakayowawezesha kukabiliana na matishio mbalimbali ikiwemo uhalifu na wahalifu pamoja na mbinu nyingine za kuwashughulikia wanaovunja sheria na kuwataka askari wa jeshi hilo kuendelea kutoa elimu kwa wananchi
FUMBO MFUMBIE MJINGA!
 
Back
Top Bottom