Uchaguzi 2020 Nakukumbusha Kitila Mkumbo , kwamba 2015 CHADEMA ilimshinda Didas Masaburi wa CCM kwa tofauti ya zaidi ya kura elfu 10

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,650
218,105
Nimepata habari nikiwa safarini kutoka Kyela kuja DSM kwamba eti wewe Kitila Mkumbo umemkimbia Mwigulu kwenu Iramba na kuja kujaribu bahati yako jimbo la Ubungo , Nakukaribisha , lakini nakutahadharisha kwamba Ubungo si Jimbo jepesi na hasa kwa wanasiasa wasaliti kama wewe .

Mtoto wa Mjini , Didas Masaburi aliyekuwa Meya wa Jiji la DSM aliangukia pua mwaka 2015 bila huruma yoyote , alipigwa kwa tofauti ya zaidi ya kura elfu 10 , kumbuka huyu alikuwa timu Kikwete , aliyekuwa Rais , sioni namna yoyote ya wewe kuambulia hata nusu ya kura za masaburi 2015 , utapigwa kipigo cha mbwa koko uaibike na waliokuheshimu wakudharau moja kwa moja.

Omba Mungu usipitishwe na ccm kugombea ubungo .

Pia soma >Uchaguzi 2020 - Profesa Kitila Mkumbo akimbia Singida, atangaza nia jimbo la Ubungo
 
Kwa mambo waliyofanya Kubenea na wawakilishi wengine ndani ya jimbo la Ubungo sijui kama CDM watapata ushindi mkubwa kiasi hicho uchaguzi huu wa 2020.

Kubenea ameharibu sana wasifu wa CDM, yaani maeneo mengine hajawahi kuja kusikiliza kero wala kuyasemea huko bungeni toka 2015 hadi mwaka huu 2020. Hali kadharika Meya Boniface nae alikuwa kisiasa za kitaifa zaidi akasahau mambo ya katani kwake.

Sijui Kubenea alikuwa mamluki wa kuja kuivuruga CDM?!!!

Mwaka huu CCM wanaweza kuwasumbua sana upinzani jimbo la Ubungo, inategemeana na wao watampitisha nani kugombea kupitia chama chao.

Ningeshauri CDM waweke mtu anaye kubalika sana hapa Ubungo ili kujihakikishia ushindi.
 
Nimepata habari nikiwa safarini kutoka Kyela kuja DSM kwamba eti wewe Kitila Mkumbo umemkimbia Mwigulu kwenu Iramba na kuja kujaribu bahati yako jimbo la Ubungo , Nakukaribisha , lakini nakutahadharisha kwamba Ubungo si Jimbo jepesi na hasa kwa wanasiasa wasaliti kama wewe .

Mtoto wa Mjini , Didas Masaburi aliyekuwa Meya wa Jiji la DSM aliangukia pua mwaka 2015 bila huruma yoyote , alipigwa kwa tofauti ya zaidi ya kura elfu 10 , kumbuka huyu alikuwa timu Kikwete , aliyekuwa Rais , sioni namna yoyote ya wewe kuambulia hata nusu ya kura za masaburi 2015 , utapigwa kipigo cha mbwa koko uaibike na waliokuheshimu wakudharau moja kwa moja.

Omba Mungu usipitishwe na ccm kugombea ubungo .

Nilimwambia akabisha, acha kwanza tule hela za hawa fisi!!
 
Anataka kuambulia aibu au anataka kujaribu bahati yake aweke historia kuwa aliwahi gombania kiti ma wakongwe wa Chadema
Mbona chadema ishakufa.
Mnajisumbua tu.
Chadema haitapata Zaid ya majimbo 5.
Viti maalum ndio kabisa hawatapata maana hawana mgombea wa urais mwenye ushawishi.

2020
 
Chadema sahauni ya 2015 zile zilikuwa kura za Lowasa mlizosaidiwa na Lowasa mwaka huu mtalijua jiji
 
Nimepata habari nikiwa safarini kutoka Kyela kuja DSM kwamba eti wewe Kitila Mkumbo umemkimbia Mwigulu kwenu Iramba na kuja kujaribu bahati yako jimbo la Ubungo , Nakukaribisha , lakini nakutahadharisha kwamba Ubungo si Jimbo jepesi na hasa kwa wanasiasa wasaliti kama wewe .

Mtoto wa Mjini , Didas Masaburi aliyekuwa Meya wa Jiji la DSM aliangukia pua mwaka 2015 bila huruma yoyote , alipigwa kwa tofauti ya zaidi ya kura elfu 10 , kumbuka huyu alikuwa timu Kikwete , aliyekuwa Rais , sioni namna yoyote ya wewe kuambulia hata nusu ya kura za masaburi 2015 , utapigwa kipigo cha mbwa koko uaibike na waliokuheshimu wakudharau moja kwa moja.

Omba Mungu usipitishwe na ccm kugombea ubungo .
Kuna tume huru?
 
Wanamihemuko ya kisiasa
Kila kitu wanaweweseka ohh 2015 Ambayo ma trilioni ya pesa yalimwagwa na akina Lowasa na friends of lowasa zile zilikuwa kura za wapenzi wa Lowasa

Mwaka huu watanyolewa hasa

Nawaambia upinzani hayo ya 2015 hayatajirudia tena forever
 
Back
Top Bottom