Uchaguzi 2020 Ni kama vile Dkt. Mollel wa Siha amekalia kuti kavu, Agrey Mwanri anarejea Jimboni!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,968
141,977
Siasa ni sayansi.

Kustaafu kwa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mh. Mwanri siyo habari njema kwa mbunge wa Siha mh Dr Mollel.

Kipingamizi pekee kilichokuwa kinamfunga mh Mwanri kugombea ubunge ni nafasi yake ya ukuu wa mkoa ambayo amestaafu rasmi.

Tusubiri na Tarime vijijini tuone rangi ya CCM.

Maendeleo hayana vyama!
 
Back
Top Bottom