Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mbeya kimewaonya wanaotarajia kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika Uchaguzi Mkuu ujao, kuacha kufanya vitendo vya kinyama dhidi ya binadamu wenzao, ambapo...
Radio Free Africa leo kwenye habari kwa ufupi saa nane mchana imeaarifu kuwa Watuhumiwa hao wame achiwa huru na mahakama baada mwendesha mashtaka kusema hana nia kuendelea na kesi.
Ikumbukwe...
Wachimbaji wadogo wa madini nchini wanakuomba kwa dhati, Spika wa Bunge, ufanye maamuzi yanayohitajika kuhusu kumbadilisha, mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya nishati na madini, Dr...
Wakuu,
Wakiwa wanahojiwa kwenye kituo cha TVE wananchi wa mbalimbali wametoa maoni kuhusu nini hasa kinaendelea kwenye Uchaguzi.
Mmojawapo wa wapiga kura alidokeza kwenye mtaa wake hakuna...
Mkoani Njombe, na hasa wilayani Ludewa, uchaguzi umevurugika kwa kiwango cha kutisha.
Awali, katibu wa CHADEMA mkoani Njombe, alieleza kuwa wilaya ya Ludewa ilikuwa ya pili kitaifa kwa idadi...
===
Hatimaye sera za mzee Hashimu Rungwe Sipunda wa chama cha CHAUMA zaanza kupata utetezi wa kisayansi polepole baada ya miaka kumi kupita ( 10 )
Leo tutamuangazia Mkurugenzi Mkuu wa...
Anaandika mkurugenzi wa mawasiliano na mambo ya nje wa CHADEMA John Mrema kupitia mtandao wa X
"Karatasi za Kupigia kura zikiwa tayari zimekwa tiki kwa wagombea wa CCM zimekamatwa Mkoa wa Simiyu...
Notorious BIG aliwahi sema maneno yenye maana ifuatayo juu ya kifo cha 2pac “Sure we had our hardships, but I would never wish death upon no one. There's no coming back from that.” RIP Biggie and...
Kwakua CHADEMA haiaminiki tena kwa wanachama wake na wananchi kwa ujumla, na kwakua chadema ndiyo chama cha siasa Tanazania, kinacho ongoza kwa kuomba kuchangiwa pesa za matumizi kwajili ya...
The Untold Story of John Magufuli's Death: What Really Happened?
Video Credit: kavaziOfficial (YT)
1. Introduction:
The death of John Pombe Magufuli, the fifth President of Tanzania, on March...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira Machi 16, 2025, akizungumza na wanachama wa CCM katika Wilaya ya Ileje, amesisitiza kuwa chama hicho kimeweka utaratibu wa wazi kwa...
Wanabodi,
https://youtu.be/OSGYViDqx8Yhttps://youtu.be/oqwZRhin8ek
https://youtu.be/EEMSp2L7MZk
Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la Leo.
Hii Makala yangu kuhusu Maadhimisho ya Miaka...
Utangulizi
Mnamo Machi 17, 2025, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, alizindua Sera ya Taifa ya Ardhi ya Mwaka 1995, Toleo la 2023, katika Ukumbi wa...
Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro
Mheshimiwa Waziri,
Nimeshangazwa na ombi la baadhi ya makuhani kwa Rais Samia wakitaka awape nafasi za ubunge wa kuteuliwa kutokana na kofia zao...
Wizara ya Ardhi inakualika kufuatilia uzinduzi rasmi wa Sera ya Taifa ya Ardhi ya Mwaka 1995 (Toleo la Mwaka 2023) kupitia YouTube Live! 📺
📅 Tarehe: 17 Machi 2025
🕘 Muda: Kuanzia saa 2:00...
1. Je, katika kumpata mgombea wake wa Urais kwa muhula wa pili, CCM inataka kurudi kwenye utaratibu wake uliokuwa ukitumika wakati wa mfumo wa chama kimoja ?
1.1 Wakati wa uchaguzi chini ya mfumo...
Kwa hali ya siasa ilivyo na Jiwe alivyoshika vyombo vyote basi siasa ni mpaka 2024.
Majimbo mengi ameshapanga safu yake na lazma wakurugenzi wawatangaze hao watu.
Hakuna kugomea matokeo wala...
Salamu pia kwa Patrick Balisidya – kweli wema hawana maisha
"Dhamira yangu ni thabiti mno, utayari wangu kutimiza azma ya mioyo ya Watanzania na ile ya chama changu haipimiki. Hakuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.