Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu, Wakuu, Majina ya vigogo waliokuwa wakipiga simu kuwatisha wajumbe wa kamati ya kuchunguza wafanyabiasha wageni hususani Kariakoo yatawasilishwa kwa mamlaka za juu kwa hatua zaidi.
0 Reactions
1 Replies
390 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara, Stephen Wasira, ametoa rai kwa vijana wenye sifa kujitokeza kugombea udiwani na ubunge katika uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba...
0 Reactions
1 Replies
442 Views
This review was originally published at www.thechanzo.com Book Review "In the Name of the President : Memoirs of a Jailed Journalist". By Katundu Kassim. The German philosopher Georg Wilhelm...
20 Reactions
76 Replies
6K Views
Ukituatilia mambo mengi ya serikali yaavyoendeshwa utakubaliana na mimi hii nchi mambo mengi yanaendeshwa kimchongo Watu walioko serikalini hawana uwezo wa kufikiria miaka 3 mbele itakuaje...
11 Reactions
48 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Kituo cha Wanahabari Watetezi wa Rasilimali na Taarifa (MECIRA) na Mkurugenzi wa Jamvi Media Group, Habibu Mchange, amepongeza juhudi za Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa...
0 Reactions
1 Replies
473 Views
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mussa Azan Zungu kwaniaba ya Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson leo Machi 17, 2025 amesema ndani ya miezi minne ya Rais Samia Suluhu...
0 Reactions
4 Replies
438 Views
Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura utaendelea katika Mkoa wa Dar es Salaam, kuanzia Machi 17, 2025 hadi Machi 23, 2025. Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Balozi Omar...
0 Reactions
1 Replies
704 Views
Wakuu, Makamu wa kwanza wa Rais, Othman Masoud Othman, amejiandikisha katika Daftari la Wapigakura wapya katika kituo cha uandikishaji Shule Mpendae, visiwani Zanzibar. Akizungumza baada ya...
1 Reactions
0 Replies
276 Views
Mheshimiwa Lema alikishiriki mazishi ya Mbwa huko mkoani Arusha, mwaka 2017.
0 Reactions
0 Replies
239 Views
Makamu Mwenyekiti Wa Chama Cha Mapinduzi Bara Ndg.Stephen wasira amefika tayari Mkoa Wa Mbeya tayari kwa ziara ya Sikuu Nne ambapo atatembelea wilaya zote za Mkoa Wa Mbeya kwa Ajili ya Kusikiliza...
0 Reactions
1 Replies
316 Views
Diwani wa Kata ya Chanika na Naibu Meya wa Ilala Masaburi Deoglas Masaburi, amesema kutokana na kufanya vizuri kwenye Uandikishaji wa Daftari la Kudumu lililopita na kupelekea Ushindi wa kishindo...
0 Reactions
6 Replies
799 Views
Waziri Kivuli wa Ofisi ya Waziri Mkuu- Bunge, Sera, Vijana, Kazi na Ajira kupitia ACT Wazalendo, Ndolezi Petro, ameitaka Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kuhakikisha kuwa ugawaji wa majimbo...
0 Reactions
1 Replies
423 Views
Mwamba amekwenda lakini maono yake yatabaki vizazi kwa vizazi... vitahadithiana aliwahi pita mwamba katika nchi hii aliyeweza kufanya mambo makubwa kwa muda mchache aliyokalia kiti cha...
9 Reactions
27 Replies
1K Views
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, ametoa msaada wa vitendea kazi vya michezo kwa wanamichezo wa Jimbo la Buchosa. Hafla hiyo ilifanyika katika kata ya Bupandwa, ambapo Shigongo alikabidhi mipira...
0 Reactions
2 Replies
318 Views
DC MBEGA AFUTURISHA VIONGOZI NA MAKUNDI MBALIMBALI YA KIJAMII WILAYA YA MBOZI Mkuu wa Wilaya ya Mbozi, Hamad Mbega amefuturisha viongozi pamoja na makundi mbalimbali ya kijamii huku akitoa rai...
0 Reactions
1 Replies
407 Views
Katibu mkuu wa chama cha sauti ya umma (SAU) ndugu MAJALIO KYARA, akiwa katika kipindi cha front page cha global tv amesema kuna vyama vinasababisha watanzania tuchelewe kufika katika nchi ya...
2 Reactions
20 Replies
1K Views
Kilichomponza hiki hapa Kwa Wasiomfahamu- Habib Mchange ndiye mmiliki wa Gazeti hilo, Ni Mtu anayeshikilia nafasi ya pili kwa Kumtukana Mzee Lowassa Matusi ya nguoni wakati ule wa kampeni za...
6 Reactions
30 Replies
3K Views
Rais Samia Suluhu Hassan amekabidhi magari 70 pamoja na vitendea kazi vingine kwa ajili ya kuimarisha usimamizi wa ardhi nchini. Magari na vitendea kazi hivyo yamekabidhiwa kwa Waziri wa Ardhi...
0 Reactions
10 Replies
812 Views
Wakuu Wizara ya Ardhi yamkabidhi tuzo Rais Samia kwa kutambua mchango wake wa kusimamia mageuzi ya mifumo ya usimamizi wa sekta ya Ardhi Tanzania. Pia, Soma Prof. Mkumbo afananisha tuzo...
0 Reactions
0 Replies
277 Views
Sio jambo jema mkaendelea kuropoka . Huwa nashangaa Sana hawa viongozi wa Ccm wasiokuwa na akili wanavyowashauri vijana . Utasikia wanakuambia Afisa usafirishaji , Afisa ubashiri , Mama lishe na...
3 Reactions
17 Replies
808 Views
Back
Top Bottom