Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Makamu Mwenyekiti Wa Chama Cha Mapinduzi Bara Ndg.Stephen wasira amefika tayari Mkoa Wa Mbeya tayari kwa ziara ya Sikuu Nne ambapo atatembelea wilaya zote za Mkoa Wa Mbeya kwa Ajili ya Kusikiliza...
0 Reactions
1 Replies
313 Views
Diwani wa Kata ya Chanika na Naibu Meya wa Ilala Masaburi Deoglas Masaburi, amesema kutokana na kufanya vizuri kwenye Uandikishaji wa Daftari la Kudumu lililopita na kupelekea Ushindi wa kishindo...
0 Reactions
6 Replies
797 Views
Waziri Kivuli wa Ofisi ya Waziri Mkuu- Bunge, Sera, Vijana, Kazi na Ajira kupitia ACT Wazalendo, Ndolezi Petro, ameitaka Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kuhakikisha kuwa ugawaji wa majimbo...
0 Reactions
1 Replies
423 Views
Mwamba amekwenda lakini maono yake yatabaki vizazi kwa vizazi... vitahadithiana aliwahi pita mwamba katika nchi hii aliyeweza kufanya mambo makubwa kwa muda mchache aliyokalia kiti cha...
9 Reactions
27 Replies
1K Views
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, ametoa msaada wa vitendea kazi vya michezo kwa wanamichezo wa Jimbo la Buchosa. Hafla hiyo ilifanyika katika kata ya Bupandwa, ambapo Shigongo alikabidhi mipira...
0 Reactions
2 Replies
318 Views
DC MBEGA AFUTURISHA VIONGOZI NA MAKUNDI MBALIMBALI YA KIJAMII WILAYA YA MBOZI Mkuu wa Wilaya ya Mbozi, Hamad Mbega amefuturisha viongozi pamoja na makundi mbalimbali ya kijamii huku akitoa rai...
0 Reactions
1 Replies
406 Views
Katibu mkuu wa chama cha sauti ya umma (SAU) ndugu MAJALIO KYARA, akiwa katika kipindi cha front page cha global tv amesema kuna vyama vinasababisha watanzania tuchelewe kufika katika nchi ya...
2 Reactions
20 Replies
1K Views
Kilichomponza hiki hapa Kwa Wasiomfahamu- Habib Mchange ndiye mmiliki wa Gazeti hilo, Ni Mtu anayeshikilia nafasi ya pili kwa Kumtukana Mzee Lowassa Matusi ya nguoni wakati ule wa kampeni za...
6 Reactions
30 Replies
3K Views
Rais Samia Suluhu Hassan amekabidhi magari 70 pamoja na vitendea kazi vingine kwa ajili ya kuimarisha usimamizi wa ardhi nchini. Magari na vitendea kazi hivyo yamekabidhiwa kwa Waziri wa Ardhi...
0 Reactions
10 Replies
812 Views
Wakuu Wizara ya Ardhi yamkabidhi tuzo Rais Samia kwa kutambua mchango wake wa kusimamia mageuzi ya mifumo ya usimamizi wa sekta ya Ardhi Tanzania. Pia, Soma Prof. Mkumbo afananisha tuzo...
0 Reactions
0 Replies
276 Views
Sio jambo jema mkaendelea kuropoka . Huwa nashangaa Sana hawa viongozi wa Ccm wasiokuwa na akili wanavyowashauri vijana . Utasikia wanakuambia Afisa usafirishaji , Afisa ubashiri , Mama lishe na...
3 Reactions
17 Replies
806 Views
Rais Kikwete akiwa Marekani ameongea na watanzania na kukanusha madai kuwa alimuokoa mwanae Ridhiwani nchimi China baada ya kukutwa na dawa za kulevya. Rais amesema huo ni upuuzi na hawezi...
8 Reactions
365 Replies
98K Views
Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Zainab Telack, amemsifu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa juhudi zake kubwa katika kuleta maendeleo, akimtaja kama "Rais wa Kujenga...
0 Reactions
3 Replies
452 Views
Ibada ya Misa ya kumwombea aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dokta John Pombe Joseph Magufuli inafanyika hii leo Machi 17, 2025 katika Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Yohana Maria...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Kipimo kikuu cha akili na ustaarabu wa binadamu yeyote yule ni namna anavyopangilia maeneo yake anayoishi na kufanya shughuli zake. Haijalishi kama anajenga nyumba za kitajiri au za kimaskini ila...
8 Reactions
40 Replies
2K Views
Kusema kweli kwa asilimia 98 nina amini bila shaka kuwa Jamii kubwa ya Watanzania wana mtindio wa ubongo, yaaani hawawezi kuwaza na kufikiri vizuri. Jambo kuu linalonifanya kuamini hivi ni kwa...
5 Reactions
34 Replies
2K Views
Kielelezo cha kufeli kwa Mtanzania au kufeli wa Serikali ya Tanzania ni kwenye Wizara mbili 1. Wizara ya Ardhi 2. Wizara ya Tamisemi. Kila nikienda majiji makubwa kuanzia Dar es Salaam, Mbeya...
5 Reactions
66 Replies
2K Views
Wakuu Mnasemaje kuhusu hili la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salam? Anasema hata kama dini inaruhusu kuongeza mke wa pili basi waoaji wanatakiwa kupeleka bank statement, kujua pesa ipo?
2 Reactions
13 Replies
718 Views
Mapema jana tarehe 15.03.2025 Katibu wa Umoja wa Vijana Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dar es salaam Hussein Athuman Egobano Amepokelewa Kata ya Kisukuru huku akiongoza maandamano ya Hamasa Kwa...
0 Reactions
2 Replies
388 Views
Wakuu, Wanafunzi wa Kidato cha Tano na Sita katika Shule za Sekondari za Kagera River na Kituntu Sekondari zilizopo katika Wilaya ya Karagwe, mkoani Kagera, wamempongeza Rais wa Jamhuri ya...
0 Reactions
1 Replies
345 Views
Back
Top Bottom