Chalamila: Ukitaka kuongeza Mke Dar leta bank statement, Pesa ipo?

Chalamila: Ukitaka kuongeza Mke Dar leta bank statement, Pesa ipo?

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,181
Reaction score
17,656
Wakuu

Mnasemaje kuhusu hili la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salam?

Anasema hata kama dini inaruhusu kuongeza mke wa pili basi waoaji wanatakiwa kupeleka bank statement, kujua pesa ipo?

Huyo jamaa kila kinachomjia mdomoni mwake huwa anakisema tu hata kama ni pumba.
 
Wakuu

Mnasemaje kuhusu hili la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salam?

Anasema hata kama dini inaruhusu kuongeza mke wa pili basi waoaji wanatakiwa kupeleka bank statement, kujua pesa ipo?

Kwani pesa ndio inamfanya mtu kuoa? Kama ni hivyo kwanini matajiri wengi ndoa zao zina migogoro? Na wengine wake zao wanachepukia wauza karanga, bodoboda?
 
Chakamila anataka kutuumbua! Tunaotunza pesa zetu kwenye madiaba, tuoneshe nini?
 
Back
Top Bottom