Boniface Jacob au maarufu Bon Yai ni mmoja wa wanasiasa vijana wenye akili na ambao kimsingi wanajua siasa kutoka moyoni.
Kama unafahamu temperaments za watu, huyu bwana ni real ktk siasa zake na...
Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa wa DSM Mh Albert Chalamila zingatia ushauri huu
Mlimani City ni eneo la Uwekezaji hivyo kufanya Mikutano ya Kisiasa yenye viashiria Vya vurugu na...
Mjumbe wa Baraza Kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Joseph Haule ‘Prof Jay’ leo Januari 20, 2025, amefika katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kikao cha...
Watanzania siasa siyo nyepesi kama mnavyodhani, lissu hawezi kushinda uenyekiti hata mbowe akimpigia kura Lissu, ila baada ya miaka mitano mnyika atakuwa Mwenyekiti na Lissu atakuwa amesajili...
Ndugu zangu Watanzania,
Naamini kama Lissu atatumia Akili ndogo sana ya kibinadamu atakuwa amejifunza mambo mengi sana kupitia michango hii ya kununua gari mpya la bei kali na la kifahari pasipo...
https://youtu.be/pfMrZF7ISCc?si=WHSR_MisNg9yIa0e
Sikuwahi kufikiri wala kumuona huyu dada kuwa kumbe ni jembe kiasi hiki...
Cha ajabu eti Freeman Mbowe anamfanyia figisu figisu asiwe mwenyekiti...
Hii Sasa ni hatari, kuanzia Mke wa Nyerere, Mke wa Sokoine, Mke wa mpaka latest kwa Mpango, Kasimu Majaliwa, na Sasa Emanuel Nchimbi wataendelea kula pension ya Umma. Gari latest la Kijapani ama...
Mwaka 1983 Mzee wangu alihamia Tabata,kipindi hicho kikiwa ni kitongoji duni kabisa,maji shida,barabara mbovu ,kumepoa.
Taratibu mpaka mwanzoni mwa miaka ya 2000 Tabata inaanza...
Mhandisi Ndolezi Petro, Waziri Kivuli wa Ofisi ya Waziri Mkuu Bunge, Sera, Vijana, Kazi na Ajira kutoka ACT Wazalendo, ametangaza nia ya kugombea ubunge wa Jimbo la Kigoma Kusini katika uchaguzi...
Hayawihayawi!
Kesho tarehe 21 itafanyika Operation kubwa kwa mgonjwa ambaye hapa ni CHADEMA.
Madaktari wasiopungua 1200 wataendesha zoezi hilo. Kiukweli mgonjwa yupo taabani. Upasuaji huu ni...
Kwa wanaofuatilia Uchaguzi huu watakubaliana na mimi kwamba ukimsikiliza Mbowe unaona picha ya Mwanasiasa imara na Kiongozi na ukimsikiliza Lissu unaona Picha ya ya Mwanaharakati aliyekomaa ila...
Ndugu zangu Watanzania,
CCM ndio habari ya Mjini, Rais Samia ndiye Habari ya Dunia na Tanzania ndio inayovuma Dunia Kwote.
Kwa Sasa habari inayovuma na kuteka mijadala mitaani na Dunia nzima...
Kweli wapiga dili hawataisha nchi hii, hadi Chadema wapo sana. Kuna genge fulani la makamanda wa Chadema ambao walijipachika jina la wanyeviti wa mikoa wa Chadema na kufika nyumbani kwa Mbowe ili...
Kutakuwa na mdahalo wa wagombea uenyekiti wa Chadema leo kuanzia saa 3:30 usiku pale Star Tv.
wagombea wanaotarajia kuwepo kwenye mdahalo huo ni pamoja na jabali wa siasa, Tundu Lissu pamoja na...
Hawa waropokaji ALIYE Walea hata wakikataa upo mchango mkubwa wa siasa zao za Leo kutoka kwa rinjendari wa siasa Dr Freeman Aikaell Mbowe.
Kwa takribani miaka 21 Mh Mbowe alifanikiwa kutuletea...
Ndugu zangu sukuma gang poleni sana. Najua mmeumia sana. Ila huo ndo mchezo wa siasa ulivyo.
Watu wali mu underestimate sana Samia kuhusu uwezo wake wa kufanya siasa. Sasa mmejionea kwa chenga ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.