Wakuu,
Miaka 63 ya Uhuru na bado CCM wanazungumzia masuala ya umeme? Seriously?
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, akizungumza na wakazi wa mji wa...
Waziri kivuli wa ofisi ya waziri mkuu- bunge, Sera, vijana, kazi na ajira, Kutokea ACT Wazalendo, Ndolezi Petro kupitia ukurasa wake wa X ameandika kuwa uamuzi uliotolewa na Mwenyekiti wa Chadema...
TAARIFA: Kumekuwa na tabia ya matapeli kughushi barua kuhadaa watu, kuomba michango kwa wadau mbalimbali.
Chama Cha Mapinduzi kinakanusha kuwa hizo siyo nyaraka za CCM na kwamba chama hakina...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii wametembelea na kukagua Mradi wa Nyumba za Mtoni Kijichi awamu ya Tatu unaomilikiwa na Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) leo Machi...
Chama cha ACT Wazalendo kimeiomba Serikali kuwachukulia hatua viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Makamu Mwenyekiti Bara, Stephen Wasira, na Naibu Katibu wa Habari na Uenezi wa CCM-Zanzibar...
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere amesema ripoti ya uchunguzi ambayo ofisi yake imekuwa ikifanya kuhusu fedha zilizokusanywa kupitia utaratibu wa makubaliano ya...
Wakuu,
Kunazidi kufurukuta, moshi unaongezeka!
====
Wakati kitendo cha kuzuiwa kuingia nchini Angola na mamlaka za nchi hiyo kwa Mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman na mwenzake...
Historia inaonyesha watutsi kama wafugaji wenye uhodari wa kupigana vita wa mbari ya kihima. Watu hawa karne kadhaa kabla ya ukoloni wa kizungu walishuka na mifugo yao toka kaskazini wakifuata mto...
Wadau mambo? Naomba twendeni kwenye mada. Shughuli zangu zinanipa fursa kufika mikoa na wilaya mbalimbali za nchi yetu ya Tanzania.
Na katika kufika huko niliamua kufanya UTAFITI WA KAWAIDA...
Ninamshangaa yeye na walio nyuma yake kwa kupinga mchakato wa uteuzi wa mwenyekiti kuwa mgombea wa urais uchaguzi 2025....
Niwafikirishe hivi ;
Ikiwa utaratibu wa "awamu mbili" ni ada na kawaida...
Waziri Kombo akiwa pamoja na WanaDiaspora WaTanzania wanaoishi Luanda, Angola leo Jumapili 16 Machi 2025 alipokutana na WanaDiaspora wanaoishi nchini Angola baada ya kumaliza dhamana za kazi...
Taasisi ya vyombo vya habari Kusini mwa Afrika Tawi la Tanzania Misa Tan, imeahidi kuendelea kushirikiana na wadau wa habari katika kuhakisha vyombo vya habari, vinafanya kazi wa weledi katika...
Familia ya Hayati Rais John Pombe Magufuli ikiongozwa na Mtoto wa Dr. Magufuli aitwaye Jesca Magufuli, imeongoza maandamano ya amani leo March 16 2025 Chato, Geita kumuenzi Hayati Magufuli na...
Kwa wataalam wa masuala ya Ulinzi na Usalama aibu waliyoipata SADC baada ya Mission yao kufeli nchini Congo DRC, sio jambo lililotokea kwa bahati mbaya.
Baada ya kuingia siasa za ushindani...
Mbunge wa Jimbo la Handeni Mjini (CCM) Mhe. Kwagilwa Rubeni, amesema kuwa wabunge na wananchi wa ukanda wa kaskazini wanaunga mkono uamuzi wa serikali wa kununua umeme kutoka Ethiopia kupitia...
WAKAZI WA KIGOMA WASHAURIWA KUWEKEZA KWENYE HATI FUNGANI ZA SERIKALI
Na Chedaiwe Msuya, WF, Kigoma.
Wananchi Mkoani Kigoma wametakIwa kujenga utamaduni wa kuwekeza fedha zao kwa kununua Hati...
Tanzania ina viongozi vijana wachache sana wenye moyo wa kujituma, na kubuni fursa mbalimbali kwa ajili ya maendeleo ya taifa.
Binafsi mh Makonda nikiaangalia kwa jicho la tatu, ni kiongozi bora...
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ipo kwenye hatua za mwisho za kusaini mikataba ya kununua umeme nje maalum kwa Mikoa ya Kaskazini ili Mikoa hiyo ipate umeme wa uhakika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.