PreGE2025 Rais Samia aikabidhi Wizara ya Ardhi magari 70

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,174
Reaction score
17,635
Rais Samia Suluhu Hassan amekabidhi magari 70 pamoja na vitendea kazi vingine kwa ajili ya kuimarisha usimamizi wa ardhi nchini.

Magari na vitendea kazi hivyo yamekabidhiwa kwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Deogratius Ndejembi mkoani Dodoma, wakati wa hafla ya uzinduzi wa Sera ya Taifa ya Ardhi ya mwaka 1995 toleo la 2023.

Makabidhiano ya magari pamoja na vitendea kazi hivyo ni sehemu ya jitihada za Serikali katika kuhakikisha kunakuwa na usimamizi bora wa ardhi, huku sera hiyo mpya ikitarajiwa kuleta mabadiliko makubwa katika sekta ya ardhi.

Snapinst.app_484819458_18468504856068597_8945122060770836786_n_1080.jpg

Snapinst.app_485142379_18468504847068597_7837800013496802014_n_1080.jpg
 
Rais Samia Suluhu Hassan amekabidhi magari 70 pamoja na vitendea kazi vingine kwa ajili ya kuimarisha usimamizi wa ardhi nchini.

Magari na vitendea kazi hivyo yamekabidhiwa kwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Deogratius Ndejembi mkoani Dodoma, wakati wa hafla ya uzinduzi wa Sera ya Taifa ya Ardhi ya mwaka 1995 toleo la 2023.

Makabidhiano ya magari pamoja na vitendea kazi hivyo ni sehemu ya jitihada za Serikali katika kuhakikisha kunakuwa na usimamizi bora wa ardhi, huku sera hiyo mpya ikitarajiwa kuleta mabadiliko makubwa katika sekta ya ardhi.

Naam naona wamepewa chuma ya kazi, designed kwenda kokote inavumiliq masiah ya mtanzania
 
Hapo utakuta matumizi yake makubwa ni kupigia tu misele na safari za hapa na pale, badala ya kutumika kwa matumizi sahihi.
 
Ufisadi tupu, kwamba Wizara haikuwa na magari? yale ya zamani yameenda wapi? nchi kila mwaka inatumia mabilioni kununua magari.
 
Hapo kuna 10 zinaenda kupiga mzinga na kufa mazima kabla mwaka haujaisha.. Kuna kumi ziaenda kubadilishwa namba kuwa private kwa matumizi binafsi..
Kwanza zimenunuliwa kwa ufisadi bei juu, pia hapo zitatumika vibaya na mwisho wa siku watajiuzia kwa bei ya nyanya
 
Rais Samia Suluhu Hassan amekabidhi magari 70 pamoja na vitendea kazi vingine kwa ajili ya kuimarisha usimamizi wa ardhi nchini.

Magari na vitendea kazi hivyo yamekabidhiwa kwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Deogratius Ndejembi mkoani Dodoma, wakati wa hafla ya uzinduzi wa Sera ya Taifa ya Ardhi ya mwaka 1995 toleo la 2023.

Makabidhiano ya magari pamoja na vitendea kazi hivyo ni sehemu ya jitihada za Serikali katika kuhakikisha kunakuwa na usimamizi bora wa ardhi, huku sera hiyo mpya ikitarajiwa kuleta mabadiliko makubwa katika sekta ya ardhi.

Attachments

  • IMG-20250317-WA0022.jpg
    IMG-20250317-WA0022.jpg
    82.2 KB · Views: 34

Similar Discussions

Back
Top Bottom