Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Aliyewahi kuwa Mbunge wa Iringa Mjini kupitia CHADEMA, Mchungaji Peter Msigwa, ambaye ni Kada wa CCM kwasasa, ameweka wazi msimamo wake wa kisiasa huku akiwataka wananchi kupuuza taarifa zozote...
1 Reactions
13 Replies
889 Views
Mjumbewa kamati kuu Chadema Godbless Lema kupitia Ukurasa wake wa X ame sahre kionjo cha wimbo wa No reforms no election ambao ameshirikia na Hellen pamoja na Happyness. Rasmi utatoka March 25...
5 Reactions
16 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amejitosa kuzungumzia sakata la barua ya malalamiko kuhusu uteuzi alioufanya wa viongozi watendaji wa juu na wajumbe wa...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Hizi shule za serikali mnazosema elimu bure mbona mnatuchanganya sana,Kwa watoto wa darasa la saba kuna michango ya limu nzima, Halafu kuna mchango wa kila wiki sh1000 kwa darasa la4 yani kwa...
0 Reactions
0 Replies
214 Views
Nimesikitishwa na Kauli ya Amosi Makala. It is such a shame kuwa na viongozi wa aina hii. CCM ni chaama cha watu wenye intellectual ndogo snaa. Shutuma za kutengeneza Biological Weapons ni...
1 Reactions
12 Replies
745 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akijumuika na Viongozi wa Siasa, Serikali, dini na makundi maalum kwenye Iftar aliyowaandalia katika viwanja vya kufurahisha...
0 Reactions
0 Replies
341 Views
Taarifa ikufikie Popote ulipo kwamba Mwenyekiti Mstaafu wa Chadema, Freeman Mbowe amewezesha kitita kikubwa cha fedha ili kugharamia Kongamano la Wanawake la Kidunia lilioandaliwa na BAWACHA...
13 Reactions
65 Replies
4K Views
Umeme ni kikwazo kikubwa sana kwa Tanzania hasa linapokuja swala la viwanda hasa smelting ambazo kwa kiwango kikubwa sana zinatumia umeme mwingi mfano smelting ya aluminium inaweza ikatumia...
2 Reactions
7 Replies
551 Views
Katika kutetea Uamuzi wake wa Kuitaka Nchi ya Marekan ianze kuzalisha Umeme kupitia Makaa ya Mawe, alisema "Kwa Marekani kupuuza matumizi ya Makaa ya Mawe, kulipekea Uchina kutumia Fursa hiyo na...
7 Reactions
12 Replies
670 Views
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini Tanzania PPPC Bw David Kafulila amenukuliwa akisema " Sasa mahitaji ya binadamu duniani ni makubwa kuliko uwezo wa Serikali za dunia kuyafikia na...
23 Reactions
119 Replies
5K Views
Chama cha ACT Wazalendo kimemwandikia rasmi Msajili wa Vyama vya Siasa malalamiko dhidi ya Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amosi Makalla kutokana na matamshi yake ya madai kuwa...
2 Reactions
3 Replies
568 Views
Habari zinazosambaa mitandaoni zinatisha. Kama ni za kweli au la hilo tuliache kwa vyombo vyenye mamlaka. Imefika mahali Watu wanashirikiana na watu wasiolitakia mema Tanzania kutia hofu, kuleta...
25 Reactions
108 Replies
6K Views
Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesema wale wabunge 19 wapo 2 wameandika barua za kuomba msamaha warudi, lakini pia wapo wengi wanamtafuta pembeni. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila...
21 Reactions
98 Replies
7K Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa ametengua ruhusa iliyotolewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila, kuruhusu magari...
14 Reactions
136 Replies
8K Views
Hivyo ndivyo Ratiba ya Chadema inavyoonyesha. Taarifa kamili hii hapa
2 Reactions
22 Replies
1K Views
Wosia huu umetolewa na Mh. Ridhiwani Kikwete , Mbunge wa Chalinze na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana , Ajira na Wenye Ulemavu wakati akiwahotubia Wananchi waliojitokeza kuomba dua...
1 Reactions
9 Replies
575 Views
WASIRA, ASKOFU BAGONZA WAKUTANA, WATETA KARAGWE Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira na Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT) Dayosisi ya...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Rais Samia Suluhu Hassan atatembelea China mwezi Septemba kwa ajili ya Kongamano la Ushirikiano kati ya China na Afrika (Focac) ambapo anatarajiwa kusaini mikataba mipya ya mkopo huku Tanzania...
0 Reactions
17 Replies
965 Views
Kuna hii trend inaota mizizi. Uhuni wa idara za ardhi kutangaza maeneo ya mashamba ya watu kama planned areas in the preparation for future dhuluma, na hivyo in the long run kuyakaya viwanja...
0 Reactions
0 Replies
207 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…