CCM wanazima akili zote wanawasha kejeli na matusi

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,907
Reaction score
50,836
CCM walikuja na kauli mbiu yao "Zima zote washa kijani" wakimaabisha wafute ushawishi Wa vyama vyote wabakie wao CCM.

Lakini Kwa Sasa tangu CHADEMA ianze harakati zake za "No reforms No Election" CCM imechachawa na kuzima akili zao zote na kuwasha ushetani.

Hivi inawezekanaje mtu mzima na akili zake aseme eti kampeni ya CHADEMA ya kukusanya hela kwa mfumo wa "tone tone" ni ukusanyaji wa fedha kwa ajili ya kununulia virusi na vimelea vya Mpox na Ebola? Huu Siyo ushetani kweli?

Au inawezekanaje Mzee mwenye miaka 80 na ushehe asimame majukwaani na kuanza kuporomosja matusi na kejeli kwq CHADEMA eti wakitaka kuzuia uchaguzi wapigane kwanza?

Hivi CCM kweli ni ya kumtegemea Baba levo kuitangaza na kuyatangaza mafanikio ya Samia Suluhu Hassan?

Hawa jamaa inawezekana wamezima akili zao zote na kuwasha ushetani!!
 
Hivyo virusi baada ya kununuliwa na kusambazwa nchi nzima vitachagua wanachama wa CCM tu na kuwaua kisha kuwaacha wanachama wa Chadema? Makalla aje atuelimishe vizuri hapa.
 
ila gentleman,
kiukweli tone tone ni utapeli wa vibaka wa kisiasa kupata pesa kwajili ya whisky na nyama,

hayo mengine ni ya ziada tu, lengo nikupata pocket money na kwajili ya ulabu na kubeti tu 🐒
 
Hivyo virusi baada ya kununuliwa na kusambazwa nchi nzima vitachagua wanachama wa CCM tu na kuwaua kisha kuwaacha wanachama wa Chadema? Makalla aje atuelimishe vizuri hapa.
💐💐💐Swali zuri sana wakikujibu nistue🙏🏿
 
CCM walikuja na kauli mbiu yao "Zima zote washa kijani" wakimaabisha wafute ushawishi Wa vyama vyote wabakie wao CCM.

Lakini Kwa Sasa tangu CHADEMA ianze harakati zake za "No reforms No Election" CCM imechachawa na kuzima akili zao zote na kuwasha ushetani.

Hivi inawezekanaje mtu mzima na akili zake aseme eti kampeni ya CHADEMA ya kukusanya hela kwa mfumo wa "tone tone" ni ukusanyaji wa fedha kwa ajili ya kununulia virusi na vimelea vya Mpox na Ebola? Huu Siyo ushetani kweli?

Au inawezekanaje Mzee mwenye miaka 80 na ushehe asimame majukwaani na kuanza kuporomosja matusi na kejeli kwq CHADEMA eti wakitaka kuzuia uchaguzi wapigane kwanza?

Hivi CCM kweli ni ya kumtegemea Baba levo kuitangaza na kuyatangaza mafanikio ya Samia Suluhu Hassan?

Hawa jamaa inawezekana wamezima akili zao zote na kuwasha ushetani!!
CCM WAMESHAPIGWA TAYARI NA VIRUSI VYA M-POX NA EBOLA AKILI HAZIFANYI KAZI
 
Inaonekana ccm ni mchezo wao huo wa kuleta magonjwa kwa malengo yao maalum
 
Back
Top Bottom