Now and then
JF-Expert Member
- Dec 19, 2024
- 613
- 1,726
Wakuu, ili kujizuia na fitina na ulozi Usithubutu kutangaza kuwa unagombea ubunge , kuna jamaa yangu wameshamtoa mchezoni huko CCM.
Hata hivyo tunamshukuru sana mama kwa ushindi wa Morocco dhidi ya Taifa stars. Hakika amethubutu na ameweza. m5 tenaWakuu , ili kujizuia na fitina na ulozi usitangaze kugombea ubunge mapema.