Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Binafsi nashangazwa sana na mambo ya CCM na serikali yake, juzi tumeona wakiwa kwenye mkutaao wao mpaka watu wao walibebwa na gari la polisi lakini leo ajabu polisi haohao wanaagizwa na serikali...
0 Reactions
1 Replies
243 Views
Namwona huyu mama kimwili ni CCM ila ndani ya moyo wake ni No reform No election..msikilize hapa.
4 Reactions
55 Replies
2K Views
Wananchi mkoani Tabora wametakiwa kutumia mfumo wa kidijitali wa E-RITA ili kurahisisha mchakato wa upatikanaji wa huduma za mamlaka hiyo vyeti vya kuzaliwa na vifo. Rai hio imetolewa na Afisa...
0 Reactions
0 Replies
679 Views
Huenda maajabuna rekodi mpya ikaandikwa Oktoba ya mwaka huu 2025 Tanzania, kwa mgombea urais wa CCM Dr.Samia Suluhu Hassan kushinda uchaguzi kwa kushinda kikuu mno, na kuvunja rikodi za ushindi...
6 Reactions
85 Replies
2K Views
Dkt. Slaa awaomba radhi CHADEMA hadharani kwenye Mkutano Mbeya, ataja kilichomrudisha kundini, aapa kupambana kuiondoa CCM madarkani Soma Pia: Dkt. Slaa arejea rasmi CHADEMA
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Mfanyabiashara wa pembejeo za kilimo na mifugo, Yohana Zakaria, mkazi wa Katoro mkoani Geita, anaendelea kumtafuta mkewe, Tatu Kimori, ambaye alitoweka nyumbani tangu Machi 2 mwaka huu. Tatu...
0 Reactions
1 Replies
479 Views
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA John Heche akiongea na viongozi pamoja na wananchama wa chama hicho katika kikao cha ndani Kyela mkoani Mbeya. "Mbunge wako akiugua Mungu ametuweka Tanzania nchi...
1 Reactions
3 Replies
472 Views
Sheikh Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) Mkoa wa Mwanza, Sheikh Hassan Kabeke, amesema kuwa kumeanza kutokea viashiria vya lugha mbaya zinazotoka kwa viongozi wa kisiasa nchini...
0 Reactions
1 Replies
348 Views
Sheikh Rashid Akilimali, Sheikh wa Mkoa wa Rukwa, amewahimiza wananchi kudumisha amani na utulivu wakati taifa linaelekea kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Ametoa pongezi kwa Rais Dkt. Samia...
1 Reactions
5 Replies
496 Views
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Jacobs Mwambegele Wakati Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) ikifunga mchakato wa kuchunguza na kugawa majimbo Machi 26, 2025, kumekuwa na...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Unapofikisha Umri wa Miaka 18 au unapoelekea kutimiza ni jukumu lako kuhakikisha unakuwa na Kadi ya Kupiga Kura, Watu wanatakiwa kutambua unapokuwa na kadi hiyo siyo lazima uwe Mwanachama wa chama...
0 Reactions
2 Replies
528 Views
Hoja za Mchome wa Chama kupinga maamuzi ya Baraza, Kamati Kuu na maamuzi yake siyo hoja inayoweza kutikisa chadema kwa vile hata anayoyalalamikia kama ni kweli yanaweza kurekebishwa kwa kuitisha...
1 Reactions
8 Replies
501 Views
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Magharibi kichama Mhe. Tauhida Gallos Nyimbo tarehe 24 Machi, 2025 akiwa katika Wilaya ya Magharibi B amewataka Wananchi kushirikiana na Viongozi wao ili waweze...
0 Reactions
0 Replies
291 Views
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mohammed Ali Kawaida ametoa maagizo kwa Viongozi wa UVCCM Mikoa yote na Wilaya zote Tanzania kuwa na vitega uchumi ili kuondoa utegemezi. Kawaida ameyasema hayo jana...
0 Reactions
0 Replies
263 Views
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, ameagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Arusha kufanya uchunguzi wa upotevu wa kiasi cha fedha shilingi milioni 400 zilizochangwa...
12 Reactions
89 Replies
7K Views
Akihojiwa na redio ya Kyela FM, ya wilayani Kyela, ambako anashiriki kampeni Tukufu ya No Reform No Election inayoendelea Nchi nzima, Dkt Slaa amesema kwamba lengo la kujiunga na Makamanda wa...
14 Reactions
62 Replies
3K Views
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema kuna baadhi ya watu wanaotaka kugombea ubunge wameanza kunyemelea majimbo kwa kuvunja maadili. Wasira ameeleza...
0 Reactions
0 Replies
254 Views
Wakuu, Mkuu wa Mkoa wa Njombe Anthony Mtaka akiwa anaongea hivi karibuni amesema kuwa anamkubali Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina kwa kuwa anaweza kutoa mawazo yake bila uoga “Luhaga Mpina ni...
4 Reactions
10 Replies
939 Views
Wananchi wa Bungu wilayani Korogwe mkoani Tanga wamefanya dua maalumu ya kumuombea Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kutimiza miaka 4 ya uongozi wake. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea...
0 Reactions
1 Replies
354 Views
Katibu wa NEC organaizesheni na Mjumbe wa Kamati kuu ya CCM Issa Gavu amezindua mradi wa Maduka ya chama Cha mapinduzi yaliopo stendi kuu ya Zamani huku akiwaasa wanachama pamoja na wafabiashara...
0 Reactions
1 Replies
314 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…