Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Veta ni level 1,2,3. Ukitoka hapo unakuja level 4,5,6 ambapo ni diploma. Ukimaliza hapo ni level 7 and 8 ambayo degree. Sasa utoke uje chini?
10 Reactions
38 Replies
1K Views
Wakuu, wasomi wanaomsifia mama naona wameumia bhana kuitwa chawa wanasema wao wana akili zao timamu na hawafanyi kwa mihemko. Katibu wa vijana na uhamasishaji wa taasisi ya Samia for Us, Gerald...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Wakuu, Zoezi la kupiga kura linaendelea sasa hivi na malalamiko ya foleni yamekuwa mengi. Sasa kwa wale ambao wamewahi kujiandikisha kabla na unataka kuboresha taarifa au kuhama kituo kuna...
0 Reactions
4 Replies
369 Views
Leo mheshimiwa Lissu amelihutubia Taifa na kulieleza hatua kwa hatua juu ya uamuzi wa chama cha CHADEMA kuwa KAMA HAKUNA MABADILIKO YA MSINGI KWENYE KATIBA NA SHERIA zinahosu uchaguzi nchini basi...
20 Reactions
82 Replies
6K Views
Ndivyo nitakavyofanya kama chama changu ccm kikiniteua na nikashinda uchaguzi huko tuendako. 1. Siasa itakua sio ajira Tena Bali kipimo Cha uzalendo kama jeshi letu lilivyo sio ajira na siasa...
7 Reactions
41 Replies
2K Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Stephen Wasira, ameiagiza Kampuni ya GDM kuhakikisha inalipa madeni ya wakulima wa Kahawa wa wilaya ya Rungwe ndani ya siku 14, baada ya malalamiko...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Wananchi wa Mbeya, Rungwe wameonyesha kutoridhishwa na viongozi wa serikali na chama kwa kile walichokiita "kuingiza siasa kwenye maisha ya watu." Malalamiko haya yalitolewa Machi 18, 2025 mbele...
1 Reactions
4 Replies
560 Views
Hebu angalieni hii Unakamata wadogo wanaofanya kampeni lakini unamuacha mkubwa aliyeanza kampeni miaka miwili iliyopita huku akigawa mizawadi kibao iliyopachikwa picha zake. Au yeye...
0 Reactions
4 Replies
399 Views
Waziri wa Madini na Mbunge wa Dodoma mjini amewapatia Waalimu WA shule ya Msingi Mazengo jijini Dodoma bima ya Afya yenye Thamani ya shilingi Milioni 3 kila Mmoja. Soma, Pia: Mavunde Akabidhi...
0 Reactions
4 Replies
436 Views
Tukubaliane yakuwa serikali ya Chama Cha Mapinduzi ilipo fikia uwezo wa kufikiri kutoa ajira kwa vijana wamegonga MWAMba Uwezo wao wa kufikiria umefika mwisho Sasa wanatuelekeza wahitimu wa...
1 Reactions
12 Replies
540 Views
Hivi kuna wawekezaji wakigeni waliopo Kariakoo mtaji wao unafika Billioni 1.3?? Ni swali.
0 Reactions
3 Replies
453 Views
WAUMINI wa Taasisi ya dini ya kiislamu ya Twarika Zawiya Kuu mkoani Arusha wamemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwapatia fedha zitakazotumika kufuturisha futari katika kipindi cha mfungo wa...
0 Reactions
0 Replies
325 Views
Mkurungenzi wa Bohari ya Dawa nchini (MSD), Mavere Tukai amesema katika kipindi cha miaka minne ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu amefanya mapinduzi makubwa ya uwekezaji katika sekta ya afya...
1 Reactions
0 Replies
442 Views
Mkuu wa wilaya ya Iringa Komred Kheri James ameendelea kuwafikia Wananchi wa wilaya ya Iringa kupitia ziara yake ya Mtaa kwa Mtaa, yenye lengo la kusikiliza Wananchi, kukagua miradi ya maendeleo...
0 Reactions
0 Replies
263 Views
Wananchi wa Vijiji vya Matemanga pamoja na Changarawe vilivyopo katika kata ya Matemanga Halmashauri ya wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma vimeingia kwenye mgogoro mkubwa wa kugombania eneo ambalo...
1 Reactions
1 Replies
384 Views
Fuatilia Makala Maalum ya Miaka Minne ya Kazi na Utendaji wa Rais wa Awamu ya Sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kupitia Akaunti yetu ya Youtube: Ikulu...
0 Reactions
1 Replies
459 Views
Nimekutana na message kwenye Whats App kwamba Msigwa ndiye aliyemlipua Mzee Kibao eti kuwa ndiye strategist wa Chadema kwenye mikutano yake ye hivi karibuni. Kama ni kweli hivi Msigwa atakuwa...
15 Reactions
100 Replies
12K Views
Mkurugenzi wa Moshi Manispaa amekabiliwa na malalamiko kutoka kwa madiwani wa manispaa hiyo kuhusu utendaji mbovu wa miradi ya maendeleo, hususan ujenzi wa soko la Mbuyuni. Madiwani hao...
0 Reactions
1 Replies
445 Views
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amewaambia wananchi wa Buchosa kuwa Rais Samia Suluhu Hassan amefanikiwa kuurejesha uchumi wa nchi mahali ulipokuwepo kabla ya janga la Corona. Amesema hilo...
0 Reactions
5 Replies
484 Views
Mwenyekiti wa Chama cha AdaTadea na Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa Tanzania, Juma Ali Khatib. WADAU wa siasa wakiwemo viongozi wa vyama vya siasa vya upinzani wameipongeza Serikali ya...
1 Reactions
8 Replies
584 Views
Back
Top Bottom