Shehe Mwaipopo: Wakati Dini nyingine wanakazana kujenga Mashule na Hospitals Bakwata wao Wamekazana kuhakiki Mali za Urithi!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,025
142,074
Shekhe Mwaipopo amesema huu ni Wakati wa Waislamu kuambiana ukweli kwamba ni lazima waanze kujenga Vitega Uchumi kama wenzao wa Dini jirani

Mwaipopo amesema Wenzetu Wana Mashule na Mahospitali kila kona lakini Bakwata hata hatujui tuna nini hasa zaidi ya kunyang'anyana Urithi

Haipendezi Sheikh mzima unampeleka hospital mkeo na kutibiwa kwenye kichumba na akina Dr John, Dr James, Dr Peter Dr Joseph, Dr Paul nk huku siye tukisubiria kwenye mabenchi, tuamkeni ndugu Zangu Waislamu amesisitiza Shehe Mwaipopo

Nawatakia Dominica njema 😀
 
Tukisema BAKWATA waislamu hawaitaki mnabisha ,shule nyingi zinajengwa na taasisi ndogo kama Answaar ila BAKWATA wakipata mishahara basi hawana jipya.

Pale BAKWATA hakuna waislamu weny uchungu wa dini ni wale ambao wanachanganya siasa .

Ndio maana tunasema BAKWATA haiwakilishi waislamu ni tawi la CCM maana kalianzisha Nyerere.
 
Hii ni Dominica njema kweli !!
Mwaipopo ni fire 🔥 😅
 
Tukisema BAKWATA waislamu hawaitaki mnabisha ,shule nyingi zinajengwa na taasisi ndogo kama Answaar ila BAKWATA wakipata mishahara basi hawana jipya.

Pale BAKWATA hakuna waislamu weny uchungu wa dini ni wale ambao wanachanganya siasa .

Ndio maana tunasema BAKWATA haiwakilishi waislamu ni tawi la CCM maana kalianzisha Nyerere.
Hapa haizungumziwi BAKWATA wala nani aliyeianzisha, usiukimbie ukweli, uvumilie; alichosema huyo Shekhe Mwaipopo ni ukweli mtupu, hiyo tabia ya kuwaza urithi na kulalamika kila siku ndio yenu, huyo jamaa anaonekana anawafahamu vizuri ndugu zake na tabia zenu.

Hata huku JF, ukitazama michango ya hao waislamu wengi wao ni kulalamika tu, hawawezi kuwaunganisha wenzao hata mara wafanye jambo la maana litakaloacha alama, wao wanawaza kusapoti ujinga wa mwenzao katika imani hata kama upo wazi kila mmoja anauona, na kuponda mafanikio ya wenzao wasio wa imani yao, hata kama yapo wazi kila mmoja anayaona.

Inshort, ni kundi lililoamua kufuata ujinga bila kuona aibu yoyote, na kujiona ndio wajuaji.
 
Alichosema huyo Shekhe Mwaipopo ni ukweli mtupu, hiyo tabia ya kuwaza urithi ni kulalamika kila siku ndio yenu, huyo jamaa anaonekana anawafahamu vizuri ndugu zake na tabia zenu.

Hata huku JF, ukitazama michango ya hao waislamu wengi wao ni kulalamika tu, hawawezi kuwaunganisha wenzao hata mara wafanye jambo la maana litakaloacha alama, wao wanawaza kusapoti ujinga wa mwenzao katika imani hata kama upo wazi kila mmoja anauona, na kuponda mafanikio ya wenzao wasio wa imani yao, hata kama yapo wazi kila mmoja anayaona.

Inshort ni kundi lililoamua kufuata ujinga bila kuona aibu.
😂😂🔥🐼
 
Hapa haizungumziwi BAKWATA wala nani aliyeianzisha, usiukimbie ukweli, uvumilie; alichosema huyo Shekhe Mwaipopo ni ukweli mtupu, hiyo tabia ya kuwaza urithi ni kulalamika kila siku ndio yenu, huyo jamaa anaonekana anawafahamu vizuri ndugu zake na tabia zenu.

Hata huku JF, ukitazama michango ya hao waislamu wengi wao ni kulalamika tu, hawawezi kuwaunganisha wenzao hata mara wafanye jambo la maana litakaloacha alama, wao wanawaza kusapoti ujinga wa mwenzao katika imani hata kama upo wazi kila mmoja anauona, na kuponda mafanikio ya wenzao wasio wa imani yao, hata kama yapo wazi kila mmoja anayaona.

Inshort, ni kundi lililoamua kufuata ujinga bila kuona aibu yoyote, na kujiona ndio wajuaji.
Kaka punguza ukali wa maneno, wakati watu wanasoma maarifa ya kawaida wao waliwekega madrasa ndo maana Leo wanapambana waweze kujikwamua ila muda haujawatupa sana mkono wakiamua wanaweza fanya jambo
 
Hapa haizungumziwi BAKWATA wala nani aliyeianzisha, usiukimbie ukweli, uvumilie; alichosema huyo Shekhe Mwaipopo ni ukweli mtupu, hiyo tabia ya kuwaza urithi ni kulalamika kila siku ndio yenu, huyo jamaa anaonekana anawafahamu vizuri ndugu zake na tabia zenu.

Hata huku JF, ukitazama michango ya hao waislamu wengi wao ni kulalamika tu, hawawezi kuwaunganisha wenzao hata mara wafanye jambo la maana litakaloacha alama, wao wanawaza kusapoti ujinga wa mwenzao katika imani hata kama upo wazi kila mmoja anauona, na kuponda mafanikio ya wenzao wasio wa imani yao, hata kama yapo wazi kila mmoja anayaona.

Inshort, ni kundi lililoamua kufuata ujinga bila kuona aibu yoyote, na kujiona ndio wajuaji.
Shule na hospital ni kazi ya serikali,hizo ni biashara akifanya mtu binafsi,by the way..mkapa aliifungia taasisi ya Islamic foundation ilivyokua ikijenga hizo taasisi
 
Hapa haizungumziwi BAKWATA wala nani aliyeianzisha, usiukimbie ukweli, uvumilie; alichosema huyo Shekhe Mwaipopo ni ukweli mtupu, hiyo tabia ya kuwaza urithi ni kulalamika kila siku ndio yenu, huyo jamaa anaonekana anawafahamu vizuri ndugu zake na tabia zenu.

Hata huku JF, ukitazama michango ya hao waislamu wengi wao ni kulalamika tu, hawawezi kuwaunganisha wenzao hata mara wafanye jambo la maana litakaloacha alama, wao wanawaza kusapoti ujinga wa mwenzao katika imani hata kama upo wazi kila mmoja anauona, na kuponda mafanikio ya wenzao wasio wa imani yao, hata kama yapo wazi kila mmoja anayaona.

Inshort, ni kundi lililoamua kufuata ujinga bila kuona aibu yoyote, na kujiona ndio wajuaji.
Huna akili.
 
Hapa haizungumziwi BAKWATA wala nani aliyeianzisha, usiukimbie ukweli, uvumilie; alichosema huyo Shekhe Mwaipopo ni ukweli mtupu, hiyo tabia ya kuwaza urithi ni kulalamika kila siku ndio yenu, huyo jamaa anaonekana anawafahamu vizuri ndugu zake na tabia zenu.

Hata huku JF, ukitazama michango ya hao waislamu wengi wao ni kulalamika tu, hawawezi kuwaunganisha wenzao hata mara wafanye jambo la maana litakaloacha alama, wao wanawaza kusapoti ujinga wa mwenzao katika imani hata kama upo wazi kila mmoja anauona, na kuponda mafanikio ya wenzao wasio wa imani yao, hata kama yapo wazi kila mmoja anayaona.

Inshort ni kundi lililoamua kufuata ujinga bila kuona aibu.
Mbona hata hueleweki unachoongea?😂😂 Shule za kiislamu zipo na hospital nyingi tu ila sio za BAKWATA ni za watu binafsi..Hata uende Bukoba zipo .

Ishu ya Mwaipopo kama hujui , misikiti yote imeanza kusajiliwa na kupewa BAKWATA Ndio maana uliona uzi wa watu kugombania msikiti ambao BAKWATA inataka umiliki ilihali hawajajenga wao kisa tu wao wanawakilisha waislamu.

BAKATWA haitaki kujenga vitega uchumi vipyq zaidi ya kuchukua vilivyopo na kujipa umiliki umenielewa?

Waislamu wapo independent maana hata shule mtu anajenga kwa pesa zake binafsi au ataomba ufadhili wa nje ila sio BAKWATA hapa Tanzania ambayo wao walitakiwa kuwa kiwakilishi katika ishu hizi ila hawana jipya katika kuendeleza ishu za kiuchumi..

Nimehudhuriq seminars kibao za kielemu ila hakuna ya BAKWATA hata moja , unakuta Taasisi ndogo ina kamati ya elimu zote ila BAKWATA hawana na wapo wanapokea ruzuku serikalini.

Wanachofanya kujipa umiliki wa mali walizozikuta kama sio kutafuta matatizo ni bora wajenge maana wanao uwezo hata wa kuomba michango na ufadhili.
 
Tukisema BAKWATA waislamu hawaitaki mnabisha ,shule nyingi zinajengwa na taasisi ndogo kama Answaar ila BAKWATA wakipata mishahara basi hawana jipya.

Pale BAKWATA hakuna waislamu weny uchungu wa dini ni wale ambao wanachanganya siasa .

Ndio maana tunasema BAKWATA haiwakilishi waislamu ni tawi la CCM maana kalianzisha Nyerere.
Sahihi kabisa
 
Mbona hata hueleweki unachoongea?😂😂 Shule za kiislamu zipo na hospital nyingi tu ila sio za BAKWATA ni za watu binafsi..Hata uende Bukoba zipo .

Ishu ya Mwaipopo kama hujui , misikiti yote imeanza kusajiliwa na kupewa BAKWATA Ndio maana uliona uzi wa watu kugombania msikiti ambao BAKWATA inataka umiliki ilihali hawajajenga wao kisa tu wao wanawakilisha waislamu.

BAKATWA haitaki kujenga vitega uchumi vipyq zaidi ya kuchukua vilivyopo na kujipa umiliki umenielewa?

Waislamu wapo independent maana hata shule mtu anajenga kwa pesa zake binafsi au ataomba ufadhili wa nje ila sio BAKWATA hapa Tanzania ambayo wao walitakiwa kuwa kiwakilishi katika ishu hizi ila hawana jipya katika kuendeleza ishu za kiuchumi..

Nimehudhuriq seminars kibao za kielemu ila hakuna ya BAKWATA hata moja , unakuta Taasisi ndogo ina kamati ya elimu zote ila BAKWATA hawana na wapo wanapokea ruzuku serikalini.

Wanachofanya kujipa umiliki wa mali walizozikuta kama sio kutafuta matatizo ni bora wajenge maana wanao uwezo hata wa kuomba michango na ufadhili.
Umefafanua vizuri sana
 
Unampigia mbuzi gitaa.

Huyo akili hana atakusumbua.

Ni mdini na mwenye chuki za kidini.
 
Shekhe Mwaipopo amesema huu ni Wakati wa Waislamu kuambiana ukweli kwamba ni lazima waanze kujenga Vitega Uchumi kama wenzao wa Dini jirani

Mwaipopo amesema Wenzetu Wana Mashule na Mahospitali kila kona lakini Bakwata hata hatujui tuna nini hasa zaidi ya kunyang'anyana Urithi

Haipendezi Sheikh mzima unampeleka hospital mkeo na kutibiwa kwenye kichumba na akina Dr John, Dr James, Dr Peter Dr Joseph, Dr Paul nk huku siye tukisubiria kwenye mabenchi, tuamkeni ndugu Zangu Waislamu amesisitiza Shehe Mwaipopo

Nawatakia Dominica njema 😀

Akili hii
 
Umefafanua vizuri sana

Hii ni taasisi ndogo sana ila ina idara kubwa kama zote mpaka ya elimu na wanaandaa seminars kwa walimu ..Je BAKWATA na kupata ruzuku hawawezi kuandaa semina kama hizi zaidi kwenda kula posho kweny mikutano ya chama cha CCM.

Screenshot_20230910-140058.png
 
Back
Top Bottom