Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ili kuboresha sekta ya kilimo nchini Tanzania mwaka 2025, Rais anayechaguliwa anaweza kuchukua hatua kadhaa muhimu ili kuimarisha kilimo, kuongeza uzalishaji, na kuboresha maisha ya wakulima. Hapa...
1 Reactions
12 Replies
611 Views
Habari Wakuu, Leo 31/ 01/ 2022 shahidi wa 12 Denis Urio anaendelea kutoa ushahidi wake kwenye kesi inayomkabili Mbowe na wenzake 3. Kujua Kesi ilipoishia fungua kiungo hiki:Yaliyojiri Mahakama...
73 Reactions
298 Replies
50K Views
Karibuni, kauli ya Waziri Mkuu kuhusu wahitimu wa digrii kwenda VETA (Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi) imeanzisha mjadala mkubwa. Hali hii inaonyesha tatizo la muda mrefu katika mfumo wa...
1 Reactions
22 Replies
1K Views
Leo nipo na hasira sana , nimeona maneno ya mwajiriwa wetu ndugu Rais kwamba nchi hii ipo na mafuta mengine mengi , ila taarifa inasema tutauza kama nchi . Ndugu Rais nikuombe na watakiwa kujua...
9 Reactions
109 Replies
4K Views
Tanzania na Misri kukuza ushirikiano katika Biashara na Uwekezaji Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Mahmoud Thabit Kombo na Waziri wa Mambo ya Nje, Uhamiaji na...
1 Reactions
1 Replies
394 Views
KWANINI serikali inahangaika kupandikiza hisia za udini na ugaidi katika siasa? Mwaka 2005 ilikitangaza Chama cha Wananchi (CUF) kuwa cha kidini na kigaidi. Sasa hivi inasema vitu viwili. Kwanza...
8 Reactions
37 Replies
5K Views
Nitawapa mambo mawili muhimu Afya: Pamopja na tatizo kubwa ya mfuko wa bima wa taifa sasa kuna watanzania zaidi ya 1.5M wenye virusi vya ukimwi ambao walikuwa wanategemea USAID. Raisi Trump wa...
5 Reactions
5 Replies
568 Views
Wakuu Mtia nia wa nafasi ya Urais kupitia Chama cha NLD Bw. Hassan Doyo kupitia Crown FM anadai "CHADEMA yenyewe hawajaungana kwenye ajenda ya No reform, No election kwahiyo ni ngumu kuungana...
1 Reactions
2 Replies
579 Views
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za mitaa (LAAC) tayari imefanya ziara yake mkoani Iringa kuanzia 16 march na kutamatika 18 march 2025 ikikagua miradi yenye hoja za kikaguzi katika...
1 Reactions
5 Replies
440 Views
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dodoma, Abdulhabib Mwanyemba, amesema vyama vya upinzani vimekosa msimamo kwa kubadilisha hoja zao mara kwa mara, kutoka kudai...
1 Reactions
2 Replies
381 Views
Tanzania na Misri kupanua wigo wa ushirikiano Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) wamekutana kwa mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje...
0 Reactions
0 Replies
296 Views
Mkuu wa itifaki (Head of Protocol ) na Mwenyekiti Mwanzilishi (Founding Chairman) wa Taasisi ya Mama Ongea na Mwanao Dr Steve Nyenyere amejitolea kumlipia dhamana mlimbwende wa Bongo movie Nicole...
12 Reactions
51 Replies
3K Views
Barua ya Wazi kwa Rais Samia: Umuhimu wa kuanzisha na kuendeleza viwanda vya ARV nchini Na Elia Wilinasi Sikanyika OFISI YA RAIS, JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHESHIMIWA RAIS WA JAMHURI YA...
4 Reactions
40 Replies
2K Views
Wakuu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Mohamed Mchengerwa, amesema katika mwaka wa fedha 2024/25, serikali imetoa mikoро yenye thamani ya Sh...
1 Reactions
3 Replies
394 Views
Katibu mwenezi wa CCM Mkoa wa Arusha Saipulan Ramsey azungumza kuhusiana na kauli ya chama chademokrasia na maendeleo chadema No reform No Election nakusema kile chama kinahitaji kipelekewe...
1 Reactions
2 Replies
343 Views
Kama Tanzania inataka kuachana na umaskini basi ni wazi unit moja ya umeme inatakiwa iuzwe sh 50 kwa matumizi ya wananchi na sh 20 kwa matumizi ya viwanda Faida ya unit kuwa bei ndogo Ukuaji na...
5 Reactions
4 Replies
512 Views
Mbunge wa Jimbo la Kibaha Mjini, Sylvestry Koka, amewataka walimu kuchagua viongozi wenye uwezo wa kuwapambania na kudai maslahi yao badala ya kujihusisha na harakati zisizokuwa na tija kwa...
1 Reactions
3 Replies
346 Views
Rais Samia kupitia mitandao yake ya kijamii, amewashukuru wananchi kwa salamu nyingi za kheri na upendo walizozitoa katika kumbukizi ya miaka minne ya Kiapo cha kuitumikia nchi yetu katika nafasi...
2 Reactions
13 Replies
747 Views
Siwezi kuandika hapa walichokuwa wakigombea ila itoshe kusema huyo bwanaalikuwani rafiki yake watangu utoto,diwani wamwananyamala enzi hizo,Bwana CBN,walukuwa maeneo ya Kinondoni Vijana Social...
17 Reactions
78 Replies
4K Views
Back
Top Bottom