Tunasambaziwa taarifa ya fursa ya matibabu nchini Cuba na kuomba taarifa hii isambazwe kwenye magroup yote.
Naomba kujua kama ni sahihi balozi kutupa namba yake ili hospitail na wagonjwa kuwasiliana nae binafsi moja kwa moja?
Nilidhani alitakiwa kupeleka taarifa hiyo Wizara husika ya afya na ndiyo watupe taarifa iliyosahihi na ndiyo waratibu zoezi hili baada ya kujiridhisha na ubora wa matibabu yao ya hayo magonjwa manne anayoyataja.
Sasa Kila balozi akijirekodi na kutoa fursa zilizoko nchi anayotuwakilisha mbona kama hii serikali inafanya kazi kama kikundi cha panya?
Tatizo nini kwani au Polepole hapatiwi ushirikiano na Wizara ya mambo ya nje au Wizara ya afya? Naona anamtaja Rais tu na hospital moja kwa moja maarufu ya binafsi na wala si Wizara ya afya wala mambo ya nje au hospitali yetu ya Taifa Muhimbili.
Tatizo nini?