Wakuu,
Msemaji wa Mbezi Beach leo nimeenda kuboresha taarifa zangu kwenye daftari kudumu la wapiga kura katika Ofisi ya Serikali ya Mtaa Mbezi Beach B. Wakati niko nasubiri kuandikishwa ilikuwa...
Mbunge wa Singida Magharibi, Elibariki Kingu amekabidhi pikipiki sita kwa ajili kuwawezesha viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutekeleza majukumu yao hasa wakati huu chama hicho kikijiandaa...
Prof.Alikuwa akizungumza kwenye kongamano la kumpongeza Rais Samia na kuangazia mafanikio ya miaka 4 madarakani.
--
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Profesa Palamagamba Kabudi...
Sheikh wa Wilaya ya Nkasi, Sheikh Hadhi Daruweshi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Amani na Maridhiano katika wilaya hiyo, amesisitiza kuwa kushiriki katika uchaguzi ni jambo linalopaswa...
Rejea sheria mpya ya uchaguzi, Rais Samia, Serikali ya CCM na Bunge bandia la CCM, waliwadharau na kuwapuuza Watanzania wote.
Vyama vya upinzani, taasisi za dini, chama cha wanasheria Tanganyika...
Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mwanza, Omari Mtuwa, amewaonya viongozi wa chama hicho kuacha tabia ya kuwa madalali wa siasa badala ya kukitumikia chama kwa uaminifu.
Kupata matukio...
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Ndg. Mohammed Ali Kawaida (MCC) amekabidhi gari kwa ofisi ya UVCCM mkoa wa Singida ili kusaidia shughuli za kila siku.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa...
Kuelekea katika Uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 viongozi wa Dini mkoani Shinyanga wamekemea vitendo vya ukatili wanavyofanyiwa watu wenye Ualibino ikiwemo mauaji ambayo hushamiri wakati wa uchaguzi...
Kama kuna kauli za hovyo zilizotolewa katika kipindi hiki, basi hii ya CCM imekua too much na imepitwa na wakati to the maximum.
Tungekua tumekwenda shule na tukaelimika basi CCM sasa hivi...
Ule Mkutano ,Wajumbe walijua wanaenda kumchagua Makamo wa Chama tu .
Ikapigwa chenga ambayo ikawaacha Wajumbe, kama lilivyo Bunge, kupiga makofi ,mayowe na mapambio mengi na kuwaondoa kwenye...
Ninawasalimu wanajukwaa!
Tangu kutenguliwa na Magufuli kutoka nafasi ya waziri wa mambo ya ndani, Kangi Lugola hasikiki kabisa hivi yupo wapi?
Mwanajukwaa mwenzangu wewe ulikuwa unamkubali kwa...
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana UVCCM Mkoa wa Mara, Mary Joseph amewataka vijana kuacha kujihusisha na vitendo vinavyochafua picha ya umoja huo, badala yake wawe sehemu ya ulinzi wa amani na...
Habari wanaJF,
Natumaini tunaendelea vizuri. Niko salama hapa Morogoro.
Nimeumiza sana kichwa kuwaza namna ya kutumia teknolojia kwa ajili ya kuwasaidia wagombea kuwafikia wapiga kura kwa...
Mjumbe wa halmashauri kuu ccm taifa (NEC) Ndele Mwaselela amewaambia wananchi wa mkoa wa kagera kuwa kazi nzuri za Dkt Samia Suluhu Hassan kwa miaka minne katika sekta zote zimefanya wananchi wa...
Kama kuna vitu vya ovyo ambavyo vimewahi kufanywa na mwenyekiti wa CCM katika utendaji wa CCM basi huenda ni uteuzi wa Stephen Wasira kuwa makamu mwenyekiti wa CCM na Amos Makalla kuwa katibu...
Serikali yetu sikivu ikiongozwa na Raisi Samia Suluhu ,Chukueni hatua za haraka mkishirikiana na Baraza la Maaskofu TEC, Wagonjwa tunaoumia , Madactari wameanza kuomba rushwa na kuongea lugha...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Profesa Palamagamba Kabudi amesema Tanzania imepiga hatua kubwa chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, kwani kwenye Sheria ya Uchaguzi wa Rais...
Amani iwe kwenu wapendwa
Kadili siku na mda unavyozidi kusonga naona kama watu moshi wa no reform no election una Anza kuwaingia kichwani
Pascal Mayalla wasanue wenzio huko wambie kibanda...
Aliyewahi kuwa Mbunge wa Iringa Mjini kupitia CHADEMA, Mchungaji Peter Msigwa, ambaye ni Kada wa CCM kwasasa, ameweka wazi msimamo wake wa kisiasa huku akiwataka wananchi kupuuza taarifa zozote...
Mjumbewa kamati kuu Chadema Godbless Lema kupitia Ukurasa wake wa X ame sahre kionjo cha wimbo wa No reforms no election ambao ameshirikia na Hellen pamoja na Happyness. Rasmi utatoka March 25...