Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakili Onesmo Olengurumwa (Mratibu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania - THRDC) anasema: Hamasa ya Undikishaji imekuwa ndogo kwa kuwa utaratibu wa kuhusisha Wadau umekuwa mdogo...
1 Reactions
0 Replies
510 Views
Sheikh Ponda Issa Ponda ambaye ni Katibu wa Shura ya Maimamu Tanzania ametoa neno kuhusu mchakato wa Uandikishaji na uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura unaoendelea Dar es Salaam: Ulazima na...
0 Reactions
0 Replies
492 Views
Rais Samia Suluhu awasili nchini Korea Kusini kwa mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Korea, Mheshimiwa Yoon Suk Yeol. Ikumbukwe kuwa Korea ni moja ya washirika wakubwa wa maendeleo tangu tarehe 30...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufanya ziara ya kihistoria nchini Korea Mei 31 hadi Juni 6 mwaka huu kwa mwaliko wa Mheshimiwa Rais wa Korea, Yoon Suk Yeol, ziara ambayo ni hatua...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Rais ametangaza kuwa nchi yetu kwa kushirikiana na majirani zetu tunaenda kupitia upya mipaka yetu ya majini na nchi kavu. Hili jambo siyo dogo, ni zito sana na lina potential ya kusababisha...
37 Reactions
128 Replies
6K Views
Katibu wa Siasa na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa Wa Dar Es Salaam Ally Bananga akijibu kuhusu kuzuiliwa kwa maandamano ya mara kadhaa hasa ya vyama vya upinzania, ameeleza kuwa mara nyingi...
1 Reactions
6 Replies
535 Views
Chama cha ACT Wazalendo tunalaani vikali vitendo vya kinyama vya mauaji, uharibifu wa mali, ukiukwaji wa binadamu katika operesheni za kuwaondoa wananchi kwa nguvu kwenye ardhi zao nchini...
1 Reactions
1 Replies
731 Views
Wito umetolewa kwa wahitimu haswa kozi za BA Sociology, Archaeology & Political Science wakimbilieVETA kujifunza mapishi kwa ajili ya wageni wa AFCON 2027. GHARAMA zote zitalipwa na Madiwani
2 Reactions
6 Replies
539 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara Stephen Wasira amevitaka vyama vya upinzani kuacha kuwa na visingizio katika kipindi hiki cha kuelekea kwenye uchaguzi badala yake wakubali...
3 Reactions
21 Replies
1K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akijumuika na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Rais Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi...
0 Reactions
5 Replies
547 Views
Nimeangalia kihoja cha mwaka huu wa uchaguzi 2025. Huyu luhanga mpina anatafuta huruma kwa nguvu sana mana kashaona ngoma ni ngumu sana kutoboa licha ya kukinzana na viongozi wenzake huko ccm...
1 Reactions
1 Replies
376 Views
Taasisi ya Tulia Trust chini ya Mkurugenzi wake ambaye ni Spika wa Bunge, Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani(IPU) na Mbunge Mbeya Mjini Dkt. Tulia Ackson imetoa futari kwa waumini 200 wa dini wa...
0 Reactions
2 Replies
649 Views
Chifu wa Mkoa wa Mbeya, Rocketi Masoko Mwanshinga, amewataka wananchi wote wa mkoa huo kutumia haki yao ya kikatiba kujiandikisha na kushiriki kikamilifu katika Uchaguzi Mkuu wa 2025. Chifu...
0 Reactions
22 Replies
1K Views
Wakuu, Askofu wa Pili wa Kanisa la Anglikana, Jimbo la Tarime mkoani Mara, John Nyaitara, ameiomba serikali kuwapa viongozi wa dini nafasi ya uwakilishi bungeni ili waweze kushughulikia...
1 Reactions
26 Replies
1K Views
Kumekuwa na Majigambo mengi na makubwa sana baina ya watu wa Kanda ya Ziwa wakiwakilishwa na Mwanza dhidi ya watu wa Nyanda za Juu Kusini Wakiwakilishwa na Mbeya. Sasa kulingana na Haina ya haya...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Kwa hamasa na mchecheto wa wananchi katika zoezi la uandikishaji na maboresho ya daftari la kudumu la kupiga kura, ni wazi wana hamu sana kushiriki katika uchaguzi mkuu wa kihistoria wa...
6 Reactions
80 Replies
3K Views
Shauku na hamasa kubwa waliyonayo wananchi wa jiji la Dar es salaam wa kuitikia wito wa Tume Huru ya Uchaguzi wa kujiandikisha kwa wale ambao wametimiza sifa, lakini pia kuboresha taarifa zao kwa...
6 Reactions
65 Replies
3K Views
Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia Prof Adolf Mkenda amesema Serikali imeamua kuwekeza katika elimu ya mafunzo na ufundi stadi (VETA) ili kuweza kuongeza ajira nchini kwa miaka ijayo kwani...
1 Reactions
3 Replies
394 Views
Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Kagera ndugu Faris Buruhani, ameishukuru serikali ya awamu ya Sita chini inayoongozwa na Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania* kwa...
0 Reactions
1 Replies
360 Views
1. January Makamba 2. Nape Moses Nnauye 3. Ummy Mwalimu 4. Babu Tale 5. Bashiru Ally Kakurwa 6.Stergomena Tax 7. Liberata Mulamula 8. Stella Manyanya 9. Ole Sendeka 10. Job Ndugai. 11. Vita Kawawa...
8 Reactions
62 Replies
4K Views
Back
Top Bottom