S Sappire JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 5,419 Reaction score 13,478 Mar 14, 2025 #1 Naomba kufahamu kiundani ubora wa hii gari pamoja na changamoto zake Kwa ambao wameitumia.Imenivutia sana na ninashawishika niinunue.Picha hii chini Attachments Screenshot_20250314-152222.jpg 158 KB · Views: 19 Screenshot_20250314-152222.jpg 158 KB · Views: 22
Naomba kufahamu kiundani ubora wa hii gari pamoja na changamoto zake Kwa ambao wameitumia.Imenivutia sana na ninashawishika niinunue.Picha hii chini
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 16,612 Reaction score 19,328 Mar 14, 2025 #2 Nitarudi KAZI ni kipimo cha utu
Intelligent businessman JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 45,999 Reaction score 100,912 Mar 14, 2025 #3 Mad Max, Mshana Jr, Extrovert mpeni ushauri jamaa
S Sirlama JF-Expert Member Joined Oct 6, 2024 Posts 330 Reaction score 578 Mar 14, 2025 #4 Hiyo gari ni nzuri, ila kibongo bongo mi naona serikali na makampuni ndio wanaimudu otherwise uwe kibopa.
Hiyo gari ni nzuri, ila kibongo bongo mi naona serikali na makampuni ndio wanaimudu otherwise uwe kibopa.
S Sappire JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 5,419 Reaction score 13,478 Mar 14, 2025 Thread starter #5 Sirlama said: Hiyo gari ni nzuri, ila kibongo bongo mi naona serikali na makampuni ndio wanaimudu otherwise uwe kibopa. Click to expand... Unamaanisha matumizi yake ni ghali sana?Kwa maana vifaa vyake ni bei juu sana?
Sirlama said: Hiyo gari ni nzuri, ila kibongo bongo mi naona serikali na makampuni ndio wanaimudu otherwise uwe kibopa. Click to expand... Unamaanisha matumizi yake ni ghali sana?Kwa maana vifaa vyake ni bei juu sana?
S Sappire JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 5,419 Reaction score 13,478 Mar 26, 2025 Thread starter #6 Hivi kweli amekosekana anayeijua vizuri hii gari kuhusu changamoto zake na ubora wake?Nimeipenda sana hii gari
Hivi kweli amekosekana anayeijua vizuri hii gari kuhusu changamoto zake na ubora wake?Nimeipenda sana hii gari