Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Bismillah Rahman Raheem. Mwaka wa Uchaguzi umefika na Mwezi wa Ramadhan ushawadia, leo tuko Chungu cha pili. Sasa kama mjuavyo kwa miaka ya sasa kila jambo ni fursa, mtaalikwa kila mahali na...
15 Reactions
45 Replies
2K Views
Katika kuazimisha Wiki ya Mama, ambayo inatambua na kuenzi juhudi za Rais Samia Suluhu Hassan, Viongozi na wanachama wa Kampeni ya Mama Asemewe walifanya ziara ya kipekee kwa abiria wa daladala...
1 Reactions
7 Replies
566 Views
Joseph Mbilinyi aka Sugu kuongea na taifa 20|03|2025 MY TAKE; Viongozi wa chama kilichokupa nguvu ya Kisiasa tunakuja Kwenye kanda yako. Bado nakushauri. Huna nguvu kuliko Tundu Lissu, uchague...
8 Reactions
82 Replies
5K Views
Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba amesema miaka minne ya Rais Samia Suluhu Hassan imekuwa na maana kubwa katika ustawi wa maisha ya Watanzania...
0 Reactions
7 Replies
536 Views
Ni Pasta Dickson Kabigumila wa Kanisa la ABC Mwezi Machi 2025 akiongoza Semina ya Mafungo ya Siku 64 akimanisha miaka 64 ya Uhuru wa Tanzania amesema Yeriko inaenda kubomoka. Alisema kuwa Yeriko...
13 Reactions
88 Replies
3K Views
Wakuu, Akizungumza hivi karibuni kwenye mahojiano ya moja kwa moja na Jambo TV, mwanasiasa maarufu ambaye alishawahi kuwa mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA mwaka 2010, Wilbroad Slaa amesema...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Chuo cha Ufundi Arusha kimezindua ujenzi wa mtambo wa umeme wa Kikuletwa 1 eneo la wilaya ya Hai Kilimanjaro pamoja na.. MTAMBO MKUBWA WA UMEME UNAOWEZA KUHUDUMIA MAGHOROFA MIA MOJA WAANZA HAI...
2 Reactions
1 Replies
446 Views
Na Askofu Benson Kalikawe Bagonza KWA WEMA au KWA UBAYA, TUSIMSAHAU MAGUFULI Miaka minne imepita tangu tangazo la kifo cha Rais wa awamu ya tano, hayati JPM litolewe. Kama kilivyo kitendawili...
2 Reactions
5 Replies
639 Views
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeielekeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Mkazi, na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Dk. Juma Homera kuweka utaratibu mzuri wa kugawa sehemu ya ardhi kwa wananchi wa...
0 Reactions
0 Replies
265 Views
📌Ujenzi wafikia 94% Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imekagua ujenzi wa jengo la Wizara ya Nishati katika mji wa Serikali Mtumba na kuipongeza Wizara kwa hatua ya ujenzi...
2 Reactions
2 Replies
513 Views
Alichoandika Naibu Waziri wa Afya na Mbunge wa Jimbo la Siha, Dkt.Godwin Mollel kwenye ukurasa wake wa Instagram: Hapa nilikuwa namwambia boss, wapinzani wangu jimboni nimewanyoosha hadi sasa...
4 Reactions
5 Replies
467 Views
Wakuu salam, Kwa watu ambao tayari uliwahi kujiandikisha kabla kuna njia ya kujiandikisha mtandaoni. Nilikuwa sielewi jinsi ya kujisajili maana taarifa hii haipo kwenye website ya tume...
0 Reactions
4 Replies
478 Views
Sasa hivi tutaambiwa kitabu kimeuza nakala nyingi na kumuingizia fedha nyingi. Kumbe huu ni mkakati wa kutaka kutakatisha fedha chafu zenye lengo la uhaini. Vyombo viendelee kumonitor transactions...
10 Reactions
47 Replies
2K Views
Tanzania ni nchi yenye mfumo wa kisiasa ulioimarishwa na uchaguzi wa kidemokrasia. Hata hivyo, kuna majimbo mengi ambapo, Rais aliyechaguliwa, hawajawahi kufika. Katika maeneo haya, wananchi...
0 Reactions
7 Replies
613 Views
Rais wa Serikali ya Wanafunzi Chuo Kikuu cha Dodoma, (UDOM) Mohamed Abdallah Mohamed amesema baada kumaliza elimu yake ya chuo kikuu anajiandaa kwenda chuo cha ufundi (VETA) kupata elimu ya ujuzi...
3 Reactions
107 Replies
4K Views
Wakuu Hapa kama Nchi ndipo tumefikia yaani Chawa wa Rais Samia, Cassypool amesafiri kutoka Kenya kuja kutembelea ujenzi wa barabara ya Mwendokasi. 🤣 Nchi ina Chawa wa Kimataifa, labda kuna pesa...
2 Reactions
14 Replies
843 Views
Kila shetani na mbuyu wake, huyu Rais wangu mpendwa huwa napenda sana kusikiliza hotuba zake, ni za utulivu, lugha rahisi kueleweka, hafokifoki ujumbe murua unatoa matumaini makubwa...
0 Reactions
3 Replies
281 Views
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi amefafania madai ya uwepo wa wawtu mkoani Dar es Salaam wanaojiandikisha zaidi ya mara moja. Ndg. Ramadhani Kailima amebainisha nini Tume...
0 Reactions
8 Replies
867 Views
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC), ikiongozwa na Mwenyekiti wake Mheshimiwa Augustine Vuma, leo Alhamisi Machi 20, 2025 imetembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa...
0 Reactions
1 Replies
379 Views
Rais Samia mimi binafsi mfanya biashara kutoka sekta binafsi nakupongeza sana hasa katika ukusanyaji wa kodi bila kutumia mabavu. Tunakumbuka tulikotoka. TRA walikuwa miungu watu. Tena zilikuwepo...
3 Reactions
13 Replies
664 Views
Back
Top Bottom