Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia Prof Adolf Mkenda amesema Serikali imeamua kuwekeza katika elimu ya mafunzo na ufundi stadi (VETA) ili kuweza kuongeza ajira nchini kwa miaka ijayo kwani...
1 Reactions
3 Replies
394 Views
Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Kagera ndugu Faris Buruhani, ameishukuru serikali ya awamu ya Sita chini inayoongozwa na Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania* kwa...
0 Reactions
1 Replies
360 Views
1. January Makamba 2. Nape Moses Nnauye 3. Ummy Mwalimu 4. Babu Tale 5. Bashiru Ally Kakurwa 6.Stergomena Tax 7. Liberata Mulamula 8. Stella Manyanya 9. Ole Sendeka 10. Job Ndugai. 11. Vita Kawawa...
8 Reactions
62 Replies
4K Views
Wakuu Babu anasema yeye ni mwanafunzi wa darasa la tatu C na hapa alikua ameenda ku-support chama lake la Lamata Village FC kwenye mashindano ya Samia Celebrities and companies Cup...
0 Reactions
0 Replies
332 Views
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imewakumbusha wananchi wote wa Mkoa wa Dar es Salaam waliojiandikisha kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura mwaka 2015 na 2020 na kadi zao za mpiga kura...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Samia kashidwa swala la Rushwa, Haki na umasikini Rushwa: Imeongezeka. Mikataba ya sirisiri na rushwa kila mahali Haki: Hakuna tume huru ambayo haimtegemei raisi. wizi wa kura kwa kutumia Polisi...
5 Reactions
45 Replies
2K Views
Mpaka sasa hakuna page yoyote ya rais iliyoposti chochote kuhusu kumbukizi ya mtangulizi wake john pombe magufuli ! Sio waziri mkuu Wala makamu wa rais aliyethubutu kuzungumza chochote ! Labda...
23 Reactions
136 Replies
7K Views
Mahakama Kuu ya Tanzania Masijala ndogoTabora imeshindwa kusikiliza kesi ya madai mchanganyiko ya kuomba kurudishwa kwa mchakato wa mabadiliko ya upatikanaji wa Katiba mpya inayoikabili Tume Huru...
0 Reactions
2 Replies
547 Views
Kwenye video hii Ahmed Kombo, mwanaharakati huru, anaelezea ukubwa wa Rais Samia na kumwaga sifa kedekede mpaka kufikia kusema baada ya Mtume Mohammad na Yesu anafuata Rais Samia! Amenikumbusha...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, ameitaka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kuhakikisha wananchi wanapata huduma ya maji kwa wakati na kuondoa urasimu usio wa lazima...
1 Reactions
3 Replies
670 Views
Chama Cha Mapinduzi CCM kupitia kwa Katibu wa Siasa, Uenezi na Mafunzo Deogratius Nsokolo kimepiga marufuku wanachama wote walioanza na wanaotarajia kuanza harakati za kujinadi kuelekea Uchaguzi...
0 Reactions
1 Replies
334 Views
tulishakubaliana kuwa katiba ni kijitabu flani hivi, hivyo kisitusumbue sana. Uongozi bora ni utashi wa kiongozi aliyechaguliwa. Nadhani wote tunashuhudia yanayoendelea Marekani ambao ndiyo mama...
0 Reactions
0 Replies
278 Views
Leo tarehe 12 Machi 2025 Aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Prof. Mussa Assad ametoa mafunzo ya Uongozi kwa Viongozi wa Chama wakiwemo Wajumbe wa Kamati Kuu...
5 Reactions
10 Replies
1K Views
Tanzania inaendelea kuagiza bidhaa nyingi kutoka nje licha ya kuwa na rasilimali nyingi kutokana na sababu kadhaa. 1. Ukosefu wa Uwezo wa Kiviwanda Tanzania ina malighafi nyingi, lakini haina...
1 Reactions
4 Replies
655 Views
Bismillah Rahman Raheem. Mwaka wa Uchaguzi umefika na Mwezi wa Ramadhan ushawadia, leo tuko Chungu cha pili. Sasa kama mjuavyo kwa miaka ya sasa kila jambo ni fursa, mtaalikwa kila mahali na...
15 Reactions
45 Replies
2K Views
Katika kuazimisha Wiki ya Mama, ambayo inatambua na kuenzi juhudi za Rais Samia Suluhu Hassan, Viongozi na wanachama wa Kampeni ya Mama Asemewe walifanya ziara ya kipekee kwa abiria wa daladala...
1 Reactions
7 Replies
566 Views
Joseph Mbilinyi aka Sugu kuongea na taifa 20|03|2025 MY TAKE; Viongozi wa chama kilichokupa nguvu ya Kisiasa tunakuja Kwenye kanda yako. Bado nakushauri. Huna nguvu kuliko Tundu Lissu, uchague...
8 Reactions
82 Replies
5K Views
Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba amesema miaka minne ya Rais Samia Suluhu Hassan imekuwa na maana kubwa katika ustawi wa maisha ya Watanzania...
0 Reactions
7 Replies
536 Views
Ni Pasta Dickson Kabigumila wa Kanisa la ABC Mwezi Machi 2025 akiongoza Semina ya Mafungo ya Siku 64 akimanisha miaka 64 ya Uhuru wa Tanzania amesema Yeriko inaenda kubomoka. Alisema kuwa Yeriko...
13 Reactions
88 Replies
3K Views
Wakuu, Akizungumza hivi karibuni kwenye mahojiano ya moja kwa moja na Jambo TV, mwanasiasa maarufu ambaye alishawahi kuwa mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA mwaka 2010, Wilbroad Slaa amesema...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Back
Top Bottom