Sifi Leo
Platinum Member
- Mar 30, 2012
- 6,354
- 11,976
Mhe. Rais wa Tanzania amefanya mengi sana makubwa na kubwa kuliko yote ni kumalizia Miradi waliyoianzisha yeye na Hayati Magufuli.
Ambayo hawakuyaanisha ni mfano kizimkazi festivo ilo sio la Marehemu Magu, la pili ni kusambaza picha za Mama Samia nchi nzima (nimepita some hapa round about kumejaa MABANGO).
Najiuliza kama Raisi Samia ameweza yote Ili la kuhakikisha RUSHWA na heshima za watumishi kwa wananchi aliyokuwa ameanza kuijenga Hayati Magufuli imemshindaje?
Leo hii mwananchi mwakilishi wa mkuu wa mkoa na mkuu wa wilaya anafokea watu live kwa kuwaita wajinga?