Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wanabodi Karibuni kwenye hii Live mubashara from Mlimani City kupitia TBC, kushuhudia Maandimisho ya Miaka 30 ya Mamlaka ya Mapato Tanzania, TRA na halfa ya Tuzo ya kwanza ya Rais kwa mlipa kodi...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza kuwa kesho Ijumaa, Julai 3, 2026, Mahakama ya Rufani ya Tanzania itakayosikiza jijini Dar es Salaam maombi ya marejeo Na...
3 Reactions
6 Replies
355 Views
Hakika Lissu na Heche wameishika serikali pabaya. Vinginevyo mnieleze kwanini Mwigulu Nchemba anatapatapa na mikutano Ikungi na Nyamongo. ..Na ziara hiyo imetanguliwa na kuzuiwa kwa mikutano...
15 Reactions
15 Replies
501 Views
24 January 2025 Dar es Salaam, Tanzania https://m.youtube.com/watch?v=woYIDnx1xcw Wanafunzi wa vyuo na vyuo vikuu mkoani Dar es Salaam wametoa tamko rasmi kuunga mkono azimio la Mkutano Mkuu wa...
3 Reactions
84 Replies
4K Views
Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) Tanzania, Simon Sirro amesema waliomteka mfanyabiashara Mohammed Dewji ‘Mo Dewji’ walitaka kupewa fedha licha ya kutotaja kiwango wanachohitaji. Sirro ametoa...
6 Reactions
616 Replies
76K Views
Iko hivi muda si mrefu viongozi wa mihimili nyeti ya nchi watakuwa kikaangoni mmoja baada ya mwingine. Na hoja kuu itakua "Inakuwaje kiongozi mzuri na mzoefu unafumbia macho"uvunjifu wa sheria...
0 Reactions
11 Replies
180 Views
Kichwa cha habari kiko wazi. Zama za marais wakristo, waislamu walizoea kusema huu ni mfumo kristo. Ila baada ya kuingia mwenzao, hawataki tuseme huu ni mfumo islam! Washukuru mkristo Magufuli...
6 Reactions
36 Replies
447 Views
Huyu anayejiita sheikh Mwaipopo alikamatwa akitapeli Kenya, akapelekwa mahakamani kwa kutapeli KES 1.3 Mil, hii ni sawa na TZS 26 Mil. Huyo Sheikh Ubwabwa alivyokamatwa akatuma salaam kwa waumini...
6 Reactions
14 Replies
414 Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, akizungumza katika kipindi cha Jana na Leo cha Wasafi FM, amesema uhuru wa kuzungumza upo, lakini muhimu ni kuzingatia maudhui ya kile...
1 Reactions
20 Replies
278 Views
Mwigulu ni waziri mkuu anazunguka kuwananga wanaharakati baada ya kueleza serikali yake imefanya nini ? Imepunguza kero za wananchi maskini kwa kiasi gani? . Yeye yuko busy na wanaharakati cha...
3 Reactions
16 Replies
165 Views
Hii ni missed target. Hakuna bahati mbaya. Alilengwa mtu akidhaniwa labda amebadilishana chumba na dereva wake kwa ajili ya tahadhali kama mbinu za kiusalama! Target ikawa missed! Mpeni ulinzi...
19 Reactions
56 Replies
1K Views
Msanii mkongwe wa muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania, Selemani Msindi, maarufu kama Afande Sele, amefunguka kuhusu wimbi na msukumo wa wananchi wanaotaka kuandamana hapa nchini, akibainisha...
5 Reactions
19 Replies
416 Views
  • Redirect
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa Kamishna wa Uhifadhi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses...
1 Reactions
Replies
Views
Wakuu, Hapa inadaiwa ni Kijiji Cha Nyaburundu wilaya ya Bunda ambapo kuna mgodi ambao wananchi wanachimba inasemekkana kuwa Serikali imemuuzia mchina huo mgodi Soma Pia: Mnyika: CHADEMA...
0 Reactions
5 Replies
239 Views
Akizungumza wakati wa hafla ya utiaji saini ya hati ya ushirikiano kati ya Tanzania na Marekani kwenye Sekta ya Afya iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam, Waziri wa Afya, Mhe. Mohamed Mchengerwa...
1 Reactions
15 Replies
300 Views
Kuuliza si ujinga wala kutaka kujua si ujinga na kutafakari pia ni vema, Nimekuwapo tokea kipindi cha Nyerere, ila nimejitambua zaid kipindi cha Mwinyi ,Mkapa na Kikwete, Lakini nauliza kuna...
10 Reactions
165 Replies
31K Views
TAARIFA ikufikie popote ulipo kwamba Kama Kuu ya CHAMA kikuu cha SIASA Nchini Tanzania inakutana Mjini Kigoma kwenye ofisi ya Kisiasa ya Kanda ya Magharibi USIONDOKE JF KWA TAARIFA KAMILI
11 Reactions
27 Replies
538 Views
Wafuasi wa chadema mkiwa jukwani/mitandaoni mnabwatuka...eti ooh chadema inapendwa, acheni kujidanganya hakuna mtu anayekipenda chama cha vibaraka wa mabeberu, chama cha matusi, chama cha matapeli...
0 Reactions
5 Replies
90 Views
Zamani CCM ilikuwa inategemea kundi la wanawake kama kundi lake la wapiga kura. Lakini utafiti wangu siku za hivi karibuni nimegundua wanawake wengi hawataki kabisa kusikia habari za CCM...
5 Reactions
18 Replies
236 Views
Waziri wa Fedha Balozi Khamis Mussa Omaramjibu Luhaga Mpina kuhusu ufisadi kwenye uagizaji mafuta Tanzania Pia soma: Luhaga Mpina: Bei ya mafuta imeshuka soko la Dunia kwa 22% lakini hatuoni bei...
0 Reactions
2 Replies
210 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…